Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

By Daily Mail Reporter Last updated at 9:49 AM on 3rd September 2010 A boy of 15 who has never been to school has become the youngest student for more than 200 years to win a place at Cambridge...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hallow wanajamii hamjambo jamani na wakubwa heshima zenu I m just joining today hope we will be together as long as JF exists
0 Reactions
2 Replies
1K Views
'Brain haemorrhage' SMS causes panic in Kenya A text message being sent around claims 27 people have died after picking up calls from numbers listed in the SMS Kenya's telecommunications...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Akiwa anaelekea katika shughuli zake za kila siku katikati ya jiji majira ya asubuhi jana, na amelazwa MOI. Amevunjika mguu mara 2 wa kulia mkono wa kulia pamoja na maeneo ya kichwa yamepata...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wana bodi, Yule mwana mpotevu kwa jina la 'KULIKONI', (Gazeti), amerejea rasmi nyumbani asubuhi ya leo, kwa kumkuta amejibanza tena kwenye meza za magazeti, hivyo kuufuta ile dhana kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
tunampa hongera!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Hidaya Kivatwa Mkazi wa Kimara Abduswamadu Shabani (25), mwalimu wa shule ya kiislwamu (madrasa) ya king'ong'o amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Kinondoni kwa tuhuma za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi nyie akina dada mimi siwaelewi na mitindo yenu ninani anawashika masikio?? Mfano naanza na pochi walikuwa navipochi vinaitwa kipima joto vidogo!sikuhizi unakuta mwanamke anapochi yakubeba...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mwana Jamii Forum mwenzetu anayejulikana kwa jina la Azikiwe, jana asubuhi alinusurika kifo baada ya kukumbwa na ajali mbaya. Alikuwa akiendesha pikipiki ndipo alipogongwa na gari na...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Dawa za serikali huibiwa barani Afrika Wagonjwa wa Malaria Wagonjwa wa Malaria Matokeo ya utafiti umethibitisha kuwa dawa za kutibu ugonjwa wa Malaria, zinazotolewa kwa nchi kadhaa barani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
source:raiamwema Kagame: Wa nje hawataki kuamini maendeleo ya Rwanda Mwandishi Wetu Septemba 1, 2010 Rais Paul Kagame wa Rwanda hivi karibuni alipata ushindi mkubwa katika uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Mambo ya SERIKALI hayo.....hehehe inafurahisha sana! kumbe hela tunazo eeh" Na Boniface Meena Kampuni nne za miradi ya kuchimba madini zimefanikiwa kupata mkopo kutoka SERIKALINI kupitia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba niweke maona ya ya mtoa hoja kama nilivyoyapata. TANZANIA: A COUNTRY ON THE BRINK OF DISASTER BIASHARA DENIS’S PERSPECTIVE One of the reasons why on 1st of August I caught a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Angalizo: Fungeni CCTV kwenye parking lot and common areas. Wizi kama huu hapo chini kwenye picha inaharibu dhana nzima ya kuwa na 'malls'. Wapeni wateja wenu imani ya usalama kwani mteja ni...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Shule hiyo kongwe ya wasichana iliyoko Bukoba imeungua tena usiku wa kuamkia leo chanzo ni mfumo wa umeme kuwa wa zamani wanafunzi 7 wameungua vibaya wamelazwa hospitali ya mkoa Kagera hii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii Poleni sana na mishe mishe za kila siku, Ninachowaomba waungwana hapa ni aina gani ya rangi ambayo naweza kupaka ndani ya nyumba ikawa na mvuto ( decent color) maana ninavyojua ni kwamba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkate wa muhogo Na Rashid Kejo KWA wakulima wa zao la muhogo wa mikoa ya kusini hususan Mtwara, wanaelewa fika habari ya matumizi mbalimbali ya zao hilo ukiacha kuchemsha, kutafuna au...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Mfano wa madini aina ya Rubi Sadick Mtulya WAKATI Wizara ya Nishati na Madini, ikiwa imetoa leseni ya uchimbaji madini ya rubi, eneo la Mtakanini Winza, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, uhalali...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom