Transport deputy minister Athuman Mfutakamba takes a rare ride in a commuter bus plying the Kariakoo-Mwenge route in Dar es Salaam at the weekend. He said he was following up reports of...
INAWEZEKANA likawa moja ya matukio mabaya ya kufungua mwaka 2011 mkoani Kilimanjaro, baada ya watu wasiojulikana kumuua mwanamke na kuondoka na viungo mbalimbali vya mwili wake kikiwamo kichwa...
Transport Minister Omar Nundu
Transport Minister Omar Nundu has cited unnecessary bureaucracy by Port Improvement Committee officials as the stumbling block to the development of Tanga port...
KAMPUNI ya Reli (TRL) imetangaza kusimamisha huduma ya reli ya kati kuanzia leo kutokana na kuharibika kwa daraja lililoko kati ya stesheni za Bahi na Kintinku mkoani Dodoma.
Daraja hilo...
IBADA ya marehemu wawili waliouawa na polisi katika vurugu za maandamano ya Chadema
inatarajiwa kufanyika katika uwanja wa NMC leo, baada ya Polisi kuridhia shughuli hiyo ya mazishi kufanyika...
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekia Wenje (Chadema), ameangua kilio mbele ya wapiga kura wake baada ya kuelezea changamoto anazopelekewa na wapiga kura hao ofisini kwake.
Wenje, ambaye alikuwa...
Kulikoni Makongo Juu, mbona barabara ni mbaya na hapo Changanyikeni wametengenezewa vizuri na sisi tumeachwa?
Pili kuhusu maji:
Mabomba ya wachina yapo hadi mlangoni wenzetu wa...
"waweza jiuliza ni nani huyu mgomo?
Kila sehemu kaamua kumwagika yeye je ni kidudu mtu ??je ni nani mwenye matatizo kati ya serikali na huyu mgumu?
Vyuo vingi sasa vimeamka na kujua kumbe haki...
Katika hali inakanganya kabisa yaelekea TLR na TAZARA wana meneja masilahi mmoja na wamechoshwa na utawala wake wa kiimla wa kupuulizia mbali masilahi ya wafanyakazi...................sasa...
MFANYABIASHARA, Pascal Matunda (50), mkazi wa Mikocheni amenyanganywa silaha yake aliyokuwa akiimiliki kihalali, baada ya polisi kumkumata akiwa amelewa na amelala ndani ya
gari alilokuwa...
Hivi ............Tuna mihimili mingapi katika nchi yetu.......??? Nauliza kwa sababu
1. ...............Jaji mkuu anateuliwa na raisi.......... hiyo haimnyimi uhuru wa maamuzi hasa inapotokea...
Anyanganywa silaha kwa kukutwa kalala kwenye gari
Imeandikwa na Hellen Mlacky; Tarehe: 10th January 2011 @ 23:24 Imesomwa na watu: 198; Jumla ya maoni: 0...
TUMELAZIMIKA kurudia wito tulioutoa kwa Serikali juzi kwamba suluhisho la mgogoro wa umeya katika Jiji la Arusha unaweza kutatuliwa iwapo tu uchaguzi utarudiwa kwa kufuata kanuni na taratibu...
Vurugu kubwa zimeubuka eneo la Mbagala Kiburugwa, jijini Dar es Salaam, baada ya wananchi wenye hasira kuvamia jengo la ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kubomoa ukuta wa uzio.
Vurugu hizo...
Mgogoro mwingine umeibuka kati ya Jeshi la Polisi mkoani Arusha na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufuatia hatua ya polisi kukataa kuruhusu uwanja wa NMC kutumika kuwaaga marehemu...
mama wa kambo anasemwa vibaya hata afanyapo mazuri,jamii inamwelewa vema kuwa simwema ingawa si kweli.sasa nauliza juu ya baba wa kambo jamii inamsemaje?
Lionel Messi is again the master of the worlds soccer players.
It is a mighty claim for a little fellow. But he deserved to receive the FIFA Ballon dOr, the recognition as player of the year...
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameingilia kati vurugu zilizotokea Arusha kutokana na mvutano wa kisiasa baina ya CCM na Chadema kuhusu suala la Meya wa Jiji la Arusha akitaka kuwapo suluhisho la kudumu...
Wakuu poleni na majukumu ya kujikimu sio kujenga Taifa kwani ukijenga Taifa linaliwa na wajanja hii haijakaa poa.
Naombe mwenye kujua masuala ya TBS kwani gari yangu haijafanyiwa Inspection toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.