Hawa watu ni kina nani hasa?


RayB

RayB

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Messages
2,754
Likes
90
Points
145
RayB

RayB

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2009
2,754 90 145
Hizi race sijui ni majina yananichanganya sana, ni kina nani hasa watu hawa?

a. MZUNGU

Hapa huwa nachanganyikiwa kabisa. Kamusi ya kiswahili/kiingeraza inatafsiri ni "European, white people". Kama ni Europeans vp kuhusu waamerika na wengineo? Na kama ni weupe ni vipi hawa watu weupe wengine ambao sio Europeans basi ni mchanganyo tu. Kuna watu weupe wengi ambao sio waeurope.

b. WAARABU

Hapa napo huwa pananichanganya. Je hawa ni wale wanaozungumza kiarabu au wanoishi Arab Emirates? Hivi hawa wamisri, wamorocco na wa'algeria, na waLibya hivi ni waarabu au waafrica?
 

Forum statistics

Threads 1,237,178
Members 475,465
Posts 29,280,425