Waziri mkuu mstaafu amempa support big up ya hoja binafsi ya katiba mpya!pia kamuunga mkono waziri sitta kwa maoni yake juu ya dowans kwa kuwa serikali haikujadili pamoja katika baraza la...
Wajameni nimechukua hii picha kutoka kwenye blog ya ankal, binafsi imenikera sana. Kuna sababu gani ya kuweka shule ya maalbino kwenye jamii yetu. Kwanini hawa watoto wasiende shule zenye...
Asalaam Aleikum wana JF; Nimesikitishwa na kitendo cha jeshi letu tukufu la polisi kupotosha hali halisi ya tukio lililotokea Arusha kupitia vyombo vya habari. Kwa maoni ya wengi majeruhi ni wengi...
This was my best Speech of the week
"Naomba wananchi wafahamu kuwa siwezi kufungwa mdomo kupinga malipo kwa kampuni ya kitapeli ya Dowans."
Haraka ya kuilipa Dowans ni ya nini? Nchi hii ina...
JK ana degree ya Uchumi. JK ukimuuliza rate ya inflation tanzania anakwambia 5.5% kwa mwaka, tena anatongeza na vijimajigambo kwamba ilikua above tena lakini jitihada za serikali yake zimeishusha...
Chanzo: Taarifa ya Habari ya ITV saa mbili usiku.
Wazee mmesikia hiyo? Inakuwaje mji ukose umeme kwa muda mrefu kiasi hicho!! Hiyo siyo hujuma jamani??? Wazee, si mnakumbuka jinsi wakazi wa...
Tokea bwana Tildo Mhando aondoke TBC1 imekuwa ya ajabu na ya hovyoo sana. Habari za muhimu za matukio muhimu hayaoneshwi tena na kituo chetu kipenzi cha TBC au ikitokea wameonesha basi ni kidogo...
Wana jf, mimi siko vizuri sana na sheria naombeni ushauri kama inawezekana nikawashtaki viongozi wa msikiti ulio jirani na nyumbani kwangu maana kila ikikaribia saa kumi na moja alfajiri wanatoa...
Wabunge wa CCM waondolewa woga
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 22nd January 2011 @ 23:59
WAKATI Mkutano wa Pili wa Bunge la Jamhuri ukikaribia kuanza mapema mwezi ujao, wabunge wa CCM...
MGOGORO ndani ya Chadema mjini hapa unaomhusisha Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na baadhi ya wanachama wanaotaka ajiuzulu, umechukua sura mpya.
Hali hiyo imekuja baada ya...
Warning and Encouragement
14 Make every effort to live in peace with everyone and to be holy; without holiness no one will see the Lord. 15 See to it that no one falls short of the grace of God...
JAMANI MIMI NILIKUWA NASAFIRI TOKA DAR KWENDA KENYA SOMETIMES LAST WEEK, NA SHIRIKA LA NDEGE LINALOANZA NA P. JANAMI HAO MA AIR HOSTESS WAKO OVYO SANA, WANAJIONA NI MORE IMPORTANT THAN THE...
Wadadisi wa mambo wanabainisha kuwa mkakati kujisafisha uliobuniwa na waathirika wakuu wa sakata la Richmond/Dowans unavyo vipengere vinne;
kipengere cha kwanza kilikuwa cha kumpata spika...
Habari zenu wana Jamii,kuna habari nimezisikia lkn cna uhakika nazo naomba majibu yenu kwa wanaojua.
Inasemekana kwamba USA walikuwa wanunuzi wazuri sana wa shaba kutoka Zambia kiasi ambacho...
kutokana na mitafaruku iliyojitokeza hivi karibuni ikiwemo tukio la polisi kuharibu vitendea kazi vya wanahabari na kuwapiga wakati wa maandamano ya chadema jijini arusha januari 05,2011,waandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.