Govt to protect jobs for citizens despite EA Common Market
Labour movement not so free
By Arusha Times Correspondent
Tanzania would continue to protect jobs for her citizens despite the...
Nina mtoto wa jamaa yangu wa karibu anatumia madawa ya kulevya muda mrefu miaka kumi sasa. Katika kipindi chote hicho, Mzazi wake (Mama) kamsumbukia sana kupata suluhu ya kumfanya aache madawa...
Kulwa Mwaibale na Musa Mateja
Askari Polisi mmoja wa kike Faraja Jabir, anayedaiwa kujifanya ni Sekretari wa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, kwa kushirikiana...
Kuna ombaomba mmoja kijana ambaye hupenda kuombea katika taa za salender, peugeot house na mktaba anakera kwa staili yake ya kufunua kidonda kikubwa kwenye paja lake la kushoto akidai anataka...
FUATILIA KWA MAKINI ALAFU TAFAKARI KWA KINA!!
Hope this mail finds you well
wapendwa just a small note to alert you be a bit cautious and vigilant on the imported goods kwny supermarkets...
Wakuu naona hii kama ni kweli inatekelezwa ni ukombozi mkubwa kiuchumi kwa watanzania, itafungua macho wengi na kufungua hata opportunities za baadhi ya watu. Naona serikali inastahili kwa kazi...
http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/8572380.stm
Kama hawa watu wanakula hata ngoji katika karne ya 21,and it happens to be Africans,sio mbali na kwetu.Karamajong ,je Mungu atusaidiaje wakati...
Mimi naabudu kwenye lile kanisa.
Pale panapofanyika miujiza ishara na maajabu ya kila namna.
Mwingine nae anaabudu pale pengine, tunapoambiwa wanaabudu miungu mingine.
Je kweli sisi tunaabudu kwa...
Msemo wa ifindu mafi (chakula ni mavi) umesaidia sana kabila la wanyakyusa hasa wanaoishi vijijini kusaidiana sana katika masuala ya chakula. Je kabila lenu wanatumia msemo gani?
Wangindo...
Makampuni ya Kenya yamechangamkia sana fursa za ushirikianao wa afrika ya mashariki, sasa Arusha imekuwa ni eneo maalum kwa uwekezaji kwa wakenya, lakini Tanzania hakuna tulalofanya labda...
Wadau nimeona hilo chapisho pepe..kuna mwanachi aneona kanyayasika na utawala wa nyerere... hebu tulijadili hili!
http://www.zanzinet.org/files/darkside.txt
Wadau nimeona hilo chapisho pepe..kuna mwanachi aneona kanyayasika na utawala wa nyerere... hebu tulijadili hili!
http://www.zanzinet.org/files/darkside.txt
Bado naendelea kushangaa inakuwaje wanaume mnakuja kasi kiivi katika ulimwengu wa Taarabu.. zamani nilijua si fani yenu ukitizama kwenye majukwaa jinsi mnacheza taarabu..mmh waimbaji wa kiume kila...
Chama Cha Jamii (CCJ), Jumatatu ijayo kitakwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, kuomba usajili wa kudumu baada ya kutimiza sharti la kupata wanachama 2,000 katika mikoa 10.
Chama...
Geofrey Nyang'oro
FAMILIA ya Musa Juma anayedaiwa kuuawa na polisi wa kituo cha Changombe jijini Dar es Salaam jana alishindwa kupata majibu ya awali ya uchunguzi wa kifo hicho baada ya...
"Self Appraisal"
A little boy went into a drug store, reached for a
soda carton and pulled it over to the telephone. He
climbed onto the carton so that he could reach the
buttons on the phone...
Ndesamburo alisema hayo alipotakiwa na gazeti hili kutolea maoni kauli ya Rais Kikwete kuwa wanasiasa wanaokusudia kutoa, kuomba au kushawishi rushwa katika uchaguzi ujao, watakiona.
"Hakuna...
WANAFUNZI 33,662 kati ya 39,189 waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana na kufaulu, wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano katika shule za Serikali na vyuo vya ufundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.