Msaada kwenye tuta

Msaada kwenye tuta

LadySwa

Member
Joined
Jan 25, 2009
Posts
77
Reaction score
6
kuna mtu anaweza kunisaidia kupata fundi wa kujenga swiming pool angalau ndogo tu.
 
mi sijui fundi wa swiming pool bana.
nawajua wa choo tu...........kwa vile vyote vinahusisha shimo, labda nikupe jina.....
aaah! basi, naona invizibo kashaku-PM.
 
Back
Top Bottom