Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,082
Nimekuwa msomaji mzuri wa gazeti hili mtandaoni.
Lakini cha kustaajabisha ni kwamba tangu tarehe 18-02-2010 hamja update website yenu.
Kulikoni, mbona mnatutisha? Semeni tatizo ni nini ili tujue cha kufanya.