Waafrika Tufanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waafrika Tufanyeje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmakonde, Mar 19, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa naangalia hizi news jana,ilibidi nifunge TV !
  Tunaweza kuwalaumu Wazungu na bad news ,lakini hii ndio reality .Wakati Museveni na his family wanafuja mali ,watu wengi Northren wanaishi kweny ufukara mkuu.

  I guess kuna Watanzania wenzetu wako katika hali hii somewhere deep in villages ambapo hata wabunge hawafiki.
  Ndio maana hii stupidity ya EAC naipinga kabisa,haisaidii mwananchi wakawaida huko kijijini Mtwara,Singida,Shinyanga,Dodoma etc.Ni show man ya elites tu.

  Kabla ya EAC,nchi binafsi zina matatizo mengi ,inatakiwa tusort out afya,elimu ,na kuraise maisha ya Watz huko vijijini kabla ya huu mradi feki wa EAC.
   
Loading...