Maanguko ya kifusi mgodi wa bulyanhulu

Jul 14, 2009
86
19
Watatu wasadikiwa kushindwa kujikwamua. Juhudi za uokoaji zinaendelea
 
Attachments

  • Incident at Level 4040.pdf
    163 KB · Views: 79
Watu mbalimbali wanatoa heshima zao za mwisho kwa marehemu wawili waliopolewa jana...Inatia simanzi kubwa kwa wakazi wa maeneo ya Kakola na Bugarama kwa wale wanaowafahamu marehemu.Vifo vyao vinahuzunisha sana!!
..Mwen -Ezi-Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.Amen
 
ni habari mbaya sana kusikika
Mungu aziweke roho za marehemu Pema Peponi Amen
 
Poleni wafiwa. Ajari za underground mine zipo sehemu nyingi. Nafikiri Barrick inabidi wafanyie kazi upya usalama mzima wa mgodi. Kama kuna blasting zinazofanyika underground kuna uwezekano mkubwa wa kutengeneza weak structures. Hili linaweza kuepukwa kama mara kwa mara ukaguzi wa kina unafanywa kujua hali halisi ya structures zao ikoje.
 
RIP watanzania wenzetu. Hawa marehemu walikufa wanajiona hivhivi manake walinaswa muda mrefu sana wakiwa bado hai.
 
Ni kweli kabisa ila kwa uhakika ni mmoja na ndiye mwili uliokuwa wa kwanza kuokolewa alikuwa akiongea na kusikika wakati shughuli za uokoaji zilipokuwa zikiendelea siku ya kwanza. RIP Dickson Kadelema, Vedastus Wilfred Tandise na Joel Mathew Nicholas.
 
Native son unaonekana upo karibu kabisa na kikosi cha ERT kilichofanya shughuli ya uokozi..huyo alikuwa ni Dick Kadelema(RIP) fundi wa Jumbo.Kwa ss wapo njiani kwnda kupumzishwa kwenye nyumba yao ya Milele!!
 
Kwa bahati mbaya jitihada za uokoaji hazikufanikiwa. Shughuli za uchimbaji zimesimamishwa kwa muda wa siku moja (Machi 18) kwa maombolezo kama ishara ya heshima kwa waliopoteza maisha. Eneo la tukio limefungwa mpaka hapo uchunguzi utakapokamilika na sababu ya ajali kujilikana na hatua kuchukuliwa.

Ndugu zetu waliopoteza maisha kutokana na ajali hiyo ni Bw. Dickson Kadelema (36), aliyeajiriwa mwaka 2003 na alikuwa akifanya kazi kama dereva wa mashine ijulikanayo kwa jina la Jumbo. Bw. Vedastus Wilfred Tandise (33), alikua mchimbaji ambaye alijiunga na mgodi mwaka 2008 pamoja na Bw. Joel Mathew Nicholas (34), ambaye pia alikuwa mchimbaji tangu mwaka 2007. RIP

Maneno katu hayawezi kuelezea huzuni kubwa tuliyonayo kwa kuwapoteza wafanyakazi wenzetu. Tuko pamoja na familia na marafiki zao katika fikra na maombi; na tunatoa heshima katika kuwakumbuka.
 
May their souls rest in peace. All died young with still a future. They died doing what they loved most. 17/03/2010 was indeed a dark day....May God give thier families comfort and strength during this trying time.
 
Kwa bahati mbaya jitihada za uokoaji hazikufanikiwa. Shughuli za uchimbaji zimesimamishwa kwa muda wa siku moja (Machi 18) kwa maombolezo kama ishara ya heshima kwa waliopoteza maisha. Eneo la tukio limefungwa mpaka hapo uchunguzi utakapokamilika na sababu ya ajali kujilikana na hatua kuchukuliwa.

Ndugu zetu waliopoteza maisha kutokana na ajali hiyo ni Bw. Dickson Kadelema (36), aliyeajiriwa mwaka 2003 na alikuwa akifanya kazi kama dereva wa mashine ijulikanayo kwa jina la Jumbo. Bw. Vedastus Wilfred Tandise (33), alikua mchimbaji ambaye alijiunga na mgodi mwaka 2008 pamoja na Bw. Joel Mathew Nicholas (34), ambaye pia alikuwa mchimbaji tangu mwaka 2007. RIP

Maneno katu hayawezi kuelezea huzuni kubwa tuliyonayo kwa kuwapoteza wafanyakazi wenzetu. Tuko pamoja na familia na marafiki zao katika fikra na maombi; na tunatoa heshima katika kuwakumbuka.
Maneno hayo kama vile ulimlishawewe CEO wa African Barrick Gold ABG bwana Dave Anthony! yapo onto!
 
Native son unaonekana upo karibu kabisa na kikosi cha ERT kilichofanya shughuli ya uokozi..huyo alikuwa ni Dick Kadelema(RIP) fundi wa Jumbo.Kwa ss wapo njiani kwnda kupumzishwa kwenye nyumba yao ya Milele!!
Sikuwa kikosini mkuu Senator ila ni kiasi cha kuguswa na kufuatilia ukweli wa mambo na huyo hakuwa fundi ila muendesha Jumbo, RIP Dick Kadelema. Fundi alikuwa Joel(RIP)
Bila shaka atakuwa ameshapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele uko Tabora. Raha ya Milele uwape ee bwana, Wapumzike kwa amani. Amen
 
Kwa siku ya leo hali ilivyo mgodini ni kuanza kazi ila si uzalishaji bali kufuatilia hali ya usalama maeneo ya kazi na kurekebisha pale pasipo salama. Uongozi unajaribu kuzungumza na wafanyakazi kuhusu mambo ya usalama kazini na kuona ni jinsi gani watu wanaweza kufanya kazi kwa usalama.
 
Poleni wafiwa. Ajari za underground mine zipo sehemu nyingi. Nafikiri Barrick inabidi wafanyie kazi upya usalama mzima wa mgodi. Kama kuna blasting zinazofanyika underground kuna uwezekano mkubwa wa kutengeneza weak structures. Hili linaweza kuepukwa kama mara kwa mara ukaguzi wa kina unafanywa kujua hali halisi ya structures zao ikoje.

Si rahisi sana kwa kuwa tukio lilitokea mita 900 chini ya ardhi...ni umbali mrefu sana
 
Back
Top Bottom