Ooops naona mnakuja kasi wanaume Kunani tena.....

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,417
Bado naendelea kushangaa inakuwaje wanaume mnakuja kasi kiivi katika ulimwengu wa Taarabu.. zamani nilijua si fani yenu ukitizama kwenye majukwaa jinsi mnacheza taarabu..mmh waimbaji wa kiume kila kukicha wanaongezeka na upenzi wenu unashika kasi ya ajabu

Kulikoni???nashngaa
 
acha tu mamy,sijui ni biashara imekuwa ngum au?yani hata sielewi
 
OOPS!naona mkoloni mwezi huu amekuja kwa kasi zaidi kiasi kwamba jf nimeshindwa kiaina!OOOPS.....!
GOODMORNING MY PEOPLE
GOODMORNIN FL1
GOODMORNING WAPWAAZ
 
Mara nyingi taarabu ina asili ya umbea na ushakunaku.Hii inamaanisha wanaumbe wanaanza kuwapiku wanawake kwa umbea na vikao visivyo rasmi.
Manake nyimbo za huko ni ;''Nimemchukua bwanako'' au ''Shepu la michelini''
 
Tunaonesha kuwa na sisi tunaweza, sio nyie tu...
 
Bado naendelea kushangaa inakuwaje wanaume mnakuja kasi kiivi katika ulimwengu wa Taarabu.. zamani nilijua si fani yenu ukitizama kwenye majukwaa jinsi mnacheza taarabu..mmh waimbaji wa kiume kila kukicha wanaongezeka na upenzi wenu unashika kasi ya ajabu

Kulikoni???nashngaa
Usishangae FL1..........Ni mambo ya beijing ya kiume hayo............
 
Dah hii kitu inabidi ijumaa hii nikafanya utafiti hapo lango la jiji na Travertine naomba JS twende wote.
 
acha tu mamy,sijui ni biashara imekuwa ngum au?yani hata sielewi

hahaha Pearl yaani ukiangalia ile taarabu nichumu nichumu mwaah safu ya mbele ni wao ..siri ya urembo nini?
 
Hahahahaha hii ukimwona Kaizer ndo anajua details zake zaidi maana mweh.....
 
Mara nyingi taarabu ina asili ya umbea na ushakunaku.Hii inamaanisha wanaumbe wanaanza kuwapiku wanawake kwa umbea na vikao visivyo rasmi.
Manake nyimbo za huko ni ;''Nimemchukua bwanako'' au ''Shepu la michelini''

hahaha Carmel watakumeza hawa ..ila ukifanya tathimini hapa kwako kuna ukweli ..
 
Ata wacheza show(stage show) wa katika Rusha Roho ni wanaume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom