Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

`Leadership failing women to prosper` By Lydia Shekighenda 10th March 2010 Most problems facing women in the country are mainly caused by a poor administration system which suppresses...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Machi 2 na 3 wiki iliyopita, nilibahatika kushiriki kwenye warsha iliyoandaliwa na Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata), pale mjini Mbeya. Warsha hii ililenga kubadilishana mawazo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Abbas Kandoro. Familia zaidi ya 120 zenye takribani watu 600 hazina makazi kutokana madhara ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wednesday, March 10, 2010 10:20 AM NYUMBA zipatazo 175 zimebomoka kutokana mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia juzi mkoani Mwanza na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi Tanzania tumeshawahi kutoa Rhodes Scholar kweli?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Na Mwandishi Wetu Uongozi wa ITV/Radio One, unadaiwa ‘kumtema’ kazi ripota wake wa Morogoro, Amina Said ambaye ni mke wa Mbunge wa Mvomero, Suleiman Morad Sadiq, Risasi Mchanganyioko lina ‘fulu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Saidi Mwema ambaye amefanya mabadiliko ya uongozi wa jeshi hilo kwa lengo la kuleta ufanisi mzuri wa kazi ya ulinzi wa amani na usalama nchini. *KIKOSI...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kamera ya usalama inaonesha Mahmoud al-Mabhouh kiongozi wa Hamas yanafatwa na watu wawili Mkuu wa polisi Dubai anasema kikosi cha siri cha majasusi wa Israel, Mossad, hakina "hata aibu" kutokana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tarime, Tarime yangu, Tarime unapendeza, Tarime mekutwa fungu, Ufanisi kuongeza, Rorya pasipo majungu, Ulipaswa kupunguza, Tarime maisha bora, Kabisa yawezekana. Mito, ziwa migodi, Tarime yote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hongera sana kina mama wenzangu kwa siku hii ..tupendane, tuwapende waume na watoto wetu tuwasaidie yatima na wote wasiojiweza na kuhitaji msaada wetu tuzidishe umoja na mshikamo ,....... Kina...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
From FRIDAY SIMBAYA in Iringa, 10th March 2010 @ 11:30, Total Comments: 0, Hits: 17 HAD anyone thought that a government official could lose his or her job simply for misplacing toilet keys...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna Watanzania watano na Muiran mmoja wamekamatwa mkoani Tanga, maeneo ya kabuku na Kilo zisizo pungua tisini na tano (95kg), wenye data zaidi watufahamishe tafadhali.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja wa nchini Ufaransa amemchinja mkewe kwa kutumia kisu kidogo cha jikoni baada ya kukasirishwa na mkewe ambaye aliamua kuitunza bikira yake na kukataa kumpa unyumba kwa miaka 21 ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimesikia kwamba, kutokana na matatizo ambayo yamejitokeza kwa gari aina ya RVR hasa zenye automatic transmition, watu wenye hizo gari wamebadilisha engine na gera box za gari hizo na kuweka za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja wa nchini Marekani huenda akatupwa jela baada ya kuligonga gari jingine alipoamua kuzinyoa nywele zake za sehemu za siri huku akiendesha gari.Megan Mariah Barnes mwenye umri wa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nyumba ya muheshimiwa mbunge,Mwambalaswa jana majira ya saa moja jioni iliteketea kwa moto,nyumba hiyo inayotizamana na barabara ya kinondoni iliteketea japokuwa kikosi cha zimamoto kilijaribu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi sasa nimekuwa nikiwaza sana ni kwa jinsi gani tunaweza kuliunganisha bara letu la Afrika kwa gharama nafuu kabisa ukilinganisha na faida na kuweza kuwa na fursa ya kuweza kuona na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
KIJANA NA MALENGO/LENGO LA KWANZA KWA KIJANA NI KUJITAMBUA KIAFYA. Nina kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ulinzi wake kwetu sisi kama vijana .kwa maana bila yeye hakuna tuwezalo maana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
LOS ANGELES, Calif. -- Three of Michael Jackson's former bodyguards are speaking out about the late pop star's private life and revealing details about his girlfriends and what kind of father he...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Millionaire ex-convict ashamed of 'incredibly selfish existence' sells his £1m house to raise cash for African orphans Last updated at 10:57 PM on 09th March 2010 With a criminal record...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom