John Malika suka Mtanzania Aliyeitangazia Tanzania kwa Njia za Wizi wa Magari UK.

Kwa hiyo huyu nii mwenzake Mponjoli Mwakasyafuka?

Semeni basi waChagga wezi. Mbona mmesahau? Mwakasyafuka na Suka ni waChagga wa Mbeya!!
 
Ah, nimeicheki hii!! Siyo John Malika Suka!!

Hapa wanamzungumzia the one and only Mponjoli Mwakasyafuka (sp).

Ni shida ya matamshi ya wazungu!!
 
Back
Top Bottom