Msemo wa Wanyakusa ili kutomnyima mtu chakula "ifindu mafi" (Chakula ni mavi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msemo wa Wanyakusa ili kutomnyima mtu chakula "ifindu mafi" (Chakula ni mavi)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Andindile, Mar 19, 2010.

 1. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Msemo wa ifindu mafi (chakula ni mavi) umesaidia sana kabila la wanyakyusa hasa wanaoishi vijijini kusaidiana sana katika masuala ya chakula. Je kabila lenu wanatumia msemo gani?
  Wangindo.......
  Wapogolo.....
  Wanyiramba.....
   
Loading...