Kwa Dr Harrison Mwakyembe na wahamiaji wapya wa Kigamboni,
Yafuatayo yalinikuta wakati nahamia kigamboni:-
Nilipofika na gari aina ya Canter tani tatu sehemu ya Kulipia, ambayo mara nyingi...
Viongozi wa dini wamnusuru mfanyabiashara
Na Gladness Mboma
SERIKALI wilayani Mbarali imewapongeza baadhi ya viongozi wa dini kwa kuzima jaribio la kutaka kuuawa kwa mwekezaji wa shamba...
Wanafunzi 400 wajisaidia porini
na Ambrose Wantaigwa, Tarime
Tanzania Daima, 17 January 2011, pg 6.
SHULE ya msingi Nyairoma iliyoko katika kata ya Sirari wilayani Tarime yenye wanafunzi...
Ndg wanajamvi,
nimekuwa nikifuatilia sana baadhi ya matangazo na bahati nasibu zinazotangazwa na wenye mitandao ya simu kama VODA, ZANTEL ,TIGO NA SASA AIRTEL.
mfano Zantel walikuwa wanatangaza...
What are the common motivators of life you know that motivated you to become who you are ?
Watu gani au kitu gani kimechangia kukufanya wewe uwe jinsi ulivyo?
Mwenzenu namshukuru sana 1.Bosi...
Greed of the Tunisian president's wife that drove a nation onto the streets to start a revolution
Last updated at 1:19 PM on 16th January 2011
President Ben Ali's wife Leila: She was...
Wanajamii naomba majibu kwa maswali haya yanayonitatiza!
Hivi ni lazima kuwajali wazazi waliokulea unapoanza kujitegemea kimaisha?Au kukulea ni jukumu lao,hivyo huhitaji kurudisha fadhila?mila...
wanajamii naombeni msaada maswali haya yanayonitatiza
Hivi ni LAZIMA kuwasaidia wazazi waliokulea?au si lazima kurudisha fadhila kwa maana lilikuwa jukumu lao kukulea?je mila zetu za kiafrika na...
Baada ya serikali kulaumiwa kuwa imeshindwa kuajiri walimu waliohitimu leo baadhi ya wahitimu wa fani mbali mbali wamepangiwa post zao. Ni kipindi cha wahitimu kulia na kukenua meno kutokana na...
Jamani wana jf inakera saaaana! Kuna tetesi kuwa eti sherehe za kutimiza miaka 50 ya UDSM zikiambatana na uchangiaji wa student center zitafanyika ikulu mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza...
A new ZODIAC Chart is causing confusion. It contains 13 star signs instead of the usual 12. Though some Astrologists aren't buying it and say don't change your sign yet.
Here is the new chart...
Wanajamvi nataka tuvunje rekodi kwa kutunga story ambayo wanajamvi wote tutachangia...
Taanza kwa Sentensi moja, na kila mtu akitaka kuchangia anaweza akapost sentensi yake ambayo itakuwa...
Anastahili pongezi Bi Shija Maige (33) mkazi wa Kahama Shinyanga kwa kujifuangua salama watoto watano salama na wenye afya nzuri. Lakini hivi serikali yetu huwa inawapatia msaada wa kulea endapo...
NINGEPENDA TANZANIA YA HIVI: Elimu bora, makazi bora, miundombinu bora, huduma bora za afya, fursa nyingi za ajira za kuajiriwa na kujiajiri, viongozi waadilifu, Uzalishaji viwandani na kuuza nje...
Kuna wimbi kubwa la wageni kuishi nchini kama wawekezaji lakini kwenye maeneo yanayoweza kufanywa na watanzania . lakini cha kushangaza msako huwa unafanywa kwa wachina tuu na si wahindi na jamii...
Kwa mashabiki wa HOROSCOPE na wale wenye kutaka kujua na kusoma nyota zao: Someni hapo chini:
Astronomer Parke Kunkle says that due to changes in the Earth's alignment the dates of many zodiac...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.