Wanajamii naomba majibu kwa maswali haya yanayonitatiza!
Hivi ni lazima kuwajali wazazi waliokulea unapoanza kujitegemea kimaisha?Au kukulea ni jukumu lao,hivyo huhitaji kurudisha fadhila?mila zetu za kiafrika zinalitazamaje suala hili?na dini zetu je?naomba msaada jamani!