Vurugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by hassansaid2010, Jan 16, 2011.

 1. h

  hassansaid2010 Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polisi Arusha wapo sahihi jamani tusiichoke amani kwani ikitoweka kuirudisha sharti damu imwagike
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  unamaanisha nini? omba uraia wa somali kama vipi jina lako linakuruhusu
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Amani gani hiyo acha unafiki
   
 4. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,082
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
 5. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Aibu unatumika
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo bado damu haijamwagika?!, subiri damu yako imwagike ndo utajua .....................
   
 7. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2011
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli, udhulumiwe; unyanganywe haki yako ....uchimumuche uchigegede...kisa amani ? Mbona Nyerere alipeleka jeshi Uganda Amin alipovamia nchi ? alikua hajui amani ?
   
 8. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wakuu haki kaiombwi, ili uipate unaipigania tena pale anapotakiwa kuitoa hiyo haki inapompunguzia ulaji ndio tabu zaidi....
   
Loading...