Bahati nasibu kwa njia ya simu......ukweli uko wapi?

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
49
Ndg wanajamvi,
nimekuwa nikifuatilia sana baadhi ya matangazo na bahati nasibu zinazotangazwa na wenye mitandao ya simu kama VODA, ZANTEL ,TIGO NA SASA AIRTEL.

mfano Zantel walikuwa wanatangaza bahati nasibu ya HAMIS MA SMS ya takribani milioni 15.
utasikia wanatangaza washindi lakini mie sijawahi kumshuhudia au hata kusikia rafiki yangu wa karibu kashinda hizo zawadi.

kwa wale wanaojua ukweli hebu tuambieni hizi bahati nasibu ni kweli au ndio njia nyingine ya kulipia DOWANS?:coffee:

Napenda kuwasilisha.
 
Sawa sawa na DESI. At the end of the day, uwezekano wa wewe kupoteza hela yako ni asilimia 99.99.
 
Kiukweli hii kitu ipo coz nimemshuhudia staff mwenzangu akiibuka na gari ya Hyundai la Vodacom!
 
Hakuna hiyo kitu!
Uongo ni 99.97%.
Jamaa yangu huko alinambia namna alivyo shiriki Jikoki balaa tupu.
Mshindi alitangazwa nje ya muda uliopangwa...mbaya zaid alipoenda kulalamika akapewa Blackbery ina uzwa abt 6 hundred thousand Tz /-....wakaona atakua soo wakamwita na kumwambia ulishinda simu...jamaa akazidi kushangaa iweje awe ameshinda hizo zawadi ndogo ndogo zilizopirz muda wake!
Akaamua kuichikua...hata hivyo alipewa aweke signature kua amepokea. Jamaa hakuweka...wakt akicheza alitumia 4m. Akanambia anampango wakuwashitaki mahakamn...hadi sasa sijui amefikia wapi?
Inatia huruma na mashaka kweli hayo mamichezo yenu!
 
Back
Top Bottom