MAPAMBANO makali kati ya Polisi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaliyotokea juzi na jana mkoani Arusha yameleta mshtuko mkubwa kitaifa, hata kuilazimisha serikali...
TAASISI isiyo ya kiserika inayojishughulisha na kuhudumia watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na masuala ya jamii, Agape Aids Control Programme (AACP), imetoa sh milioni 16 kwa Kata ya Lubaga...
KATIKA kujibu hoja ya Waziri wa Mambo ya Ndani Shamsi Vuai Nahodha aliyetaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) vikae kuzungumza namna ya kumaliza mfarakano...
WATEJA wa Benki ya Barclays wamelalamika kuwa fedha zao zinaibwa pindi wanapotumia huduma ya kuchukua fedha kwenye akaunti kwa huduma ya mashine kupitia kadi za Visa za Benki ya Biashara ya Taifa...
MTOTO mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Moza Hassan (13), ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Manzese, wilayani Kinondoni, amejinyonga kwa kutumia waya wa umeme.
Kwa...
Serikali si haina dini? kwa nini kiongozi kama rais anapewa kiapo akiwa ameshika aidha Biblia au Qu-ran? kwani akikosea wakati wa utawala wake ataambiwa amekiuka misingi ya dini yake aliyoapishwa...
SERIKALI imesisitiza kwamba wajawazito wanatakiwa kupata huduma za kujifungua bila ya kulipia katika hospitali zote za serikali na kwamba ni makosa kuwataka wanunue baadhi ya vifaa.
Hayo...
SIKU chache baada ya serikali kupitia Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kuvunja mkataba na Kampuni ya udalali ya Majembe Auction Mart ya Dar es Salaam, mamlaka hiyo imeanza...
Vaccine for alcoholics works by making you feel sick after one drink
Last updated at 4:41 PM on 7th January 2011
Alcoholics can build up a strong tolerance to the effects of drink over...
Wakuu,
Zain walikua na rewards program. Nijuavyo ukinunua kampuni unamaliza na madeni yake na unachukua au unalipwa pia waliokua wanakudai.
Sasa swali langu ni kua wale waliokua na rewards...
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) jana lilitoa ratiba ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo watani wa jadi Yanga na Simba watakutana Machi 5 kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro...
MMOJA kati ya watu watatu waliokufa kutokana na majeraha kwenye maandamano ya Chadema jijini hapa juzi ni raia wa Kenya.
Paul Njuguna Kayehe, mwenye kitambulisho cha uraia namba 25066938...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, zaidi ya mahabusu 30 wa gereza la wilaya mjini hapa, wamegoma kwenda mahakamani na badala yake kulala barabarani kwa zaidi ya saa moja, hali iliyosababisha...
VITUKO vya mahabusu kufanyika kwenye Mahakama mbalimbali zimezidi kuendelea kujitokeza, ambapo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Morogoro, mmoja wa watuhukiwa wa kesi ya unyanganyi wa...
BAADHI ya wafanyakazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wanadaiwa kutumia muda wa kuwahudumia wananchi kufanya kazi zao binafsi nje ya ofisi.
Wamekuwa wakifanya hivyo, wakiamini kwamba...
Nasikitika kusema hivyo lakini kwa sasa sina mbadala wa kauli yenye matumaini! maana kila sekta ni ujinga mtupu! Afya, Siasa! Elimu! maendeleo ya jamii! na mengine mengi! utafikiri hakuna watu...
Watu wanaandamana bila kuleta vurugu, hatima yake wanapigwa mabomu na risasi! Kwanini Polisi wazembe wa Tanzania wasipambane na Majambazi ambayo yanatoa roho za raia wema hasa huko Temboni?
The alleged terrorists on this list below have been indicted by sitting Juries in various jurisdictions in the United Republic of Tanzania for the crimes against Humanity, Stealing of Public...
JINA la Mazengo Chalula si geni masikioni mwa watu hasa wale wa Kanda ya Kati. Ni la Mtemi wa Wagogo, moja ya makabila ya wenyeji wa Mkoa wa Dodoma ulioko katikati mwa Tanzania.
Mtemi Mazengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.