Nani, Kwa vipi................ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani, Kwa vipi................

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tausi Mzalendo, Jan 17, 2011.

 1. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  What are the common motivators of life you know that motivated you to become who you are ?


  Watu gani au kitu gani kimechangia kukufanya wewe uwe jinsi ulivyo?

  Mwenzenu namshukuru sana 1.Bosi wangu kwa kunipa msukumo wa kutoka nilipo tena kwa hasira! Ile hasira ilinisukuma nje ya ajira kwa kipindi.Niliponyanyuka........ sikutizama nyuma.The rest is history!
  2. Namshukuru mwalimu wangu wa Physics - yeye hakuamini kuwa mwanamke anaweza masomo magumu ya sayansi. Ile hasira aliyonipa basi ikanipeleka kwenye vilele ambavyo sikuwa nimevitarajia.

  mhh..nisimalize utamu wote hapa... hebu nanyi semeni....
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Nahisi kwangu kuondokewa na wazazi mapema na maisha niliopitia imenifanya niwe mtu wa hasira sn!


   
 3. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  kama mke wa mzungu mashariki ya kati vile.

  Pole sana.
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hahha mtaa wa kati ile movie aisee nabakia kucheka tuu!!!
   
 5. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Mwanasayansi unakuja na trivial topics kama hizi! Jukwaa la Science na Technology tunataka kujua nani zaidi kati ya Newton na Einstein.
   
 6. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pole sana Maria....
  but u know what.... life has to go on hata kama umepitia mtihani mgumu namna gani.Hasira itakufanya usisonge mbele.

  Je hiyo hasira unafikiri inakupa msukumo chanya katika maisha yako?
   
 7. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Get a life... is it any of ur biz what i write or say?
  There is a time for everything...and bsides u have no right to force me to contribute to any of ur trivia!

  BTW.... utapata faida gani wewe kujua yupi zaidi kati ya Albert Einstein na Sir Isaac Newton wakati u r still grappling with your abject poverty? I would have been more interested to participate if the discussion was on how we could use the breakthroughs of these two great scientists katika kupambana na mazingira duni ya kitanzania.

  Unashadadia mpambano typical ya watanzania wengi wa vijiweni kushindanisha nani zaidi kati ya Michael Jackson ( R.I.P) NA col. Abraham au the artsist formerly known as Prince! Ukishajua nani zaidi then what!?
   
 8. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Okay, lets talk about the General Theory of Relativity.

  Do this theory and the Newton's 3 Laws of Motion differ in their prediction (assuming that velocities are comparable to that of light or gravitational fields are much larger than those encountered on Earth)
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Yes my dia imenipa msukumo wa kuyakabili maisha na kuzidi kupigana nayo na kufika kule ambako sikutarajia haha haha saa nyingine inasaidia sna aisee :smile-big::smile-big:
   
 10. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na ndio maana nikataka tuongee hapa ili kupeana moyo. Kuna watu hutokewa na jambo wakalitafsiri kwa ubaya tu, kumbe kuna jema linakuja huko mbele. Wale wanaoamini husema hivi: Linapokutokea jambo baya usiseme Mungu kwanini mimi.Sema Mungu - unanipa ujumbe gani?
   
Loading...