Naombeni msaada tafadhali!

Simeon

Member
Nov 29, 2010
61
19
wanajamii naombeni msaada maswali haya yanayonitatiza
Hivi ni LAZIMA kuwasaidia wazazi waliokulea?au si lazima kurudisha fadhila kwa maana lilikuwa jukumu lao kukulea?je mila zetu za kiafrika na dini zetu zinalitazamaje jambo hili?
 
Ni uungwana na ustaarabu tu!Kutokufanya hivyo ni sawa na kukosa shukrani!Kulikoni mpaka uulize haya?Umesaidiwa leo hii unaona tabu kurudisha fadhila?Kweli ubinadamu kazi!
 
Back
Top Bottom