Hatimaye Post za walimu zatoka.

Hatimaye Post za walimu zatoka.

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
8,169
Reaction score
3,360
Baada ya serikali kulaumiwa kuwa imeshindwa kuajiri walimu waliohitimu leo baadhi ya wahitimu wa fani mbali mbali wamepangiwa post zao. Ni kipindi cha wahitimu kulia na kukenua meno kutokana na post zitavyokuwa zimekaa.
Nawashauri wengi msikmbile kuacha kazi nendeni mpaka maeneo mliyopangiwa ili mjifunze vitu kuliko kuacha ajira kwa kusikia tu maneno.
Bofya hapa kwa habari zaidi. WELCOME TO MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING OFFICIAL WEBSITE:::::::::
 
Back
Top Bottom