Mkazi wa Kahama Shinyanga ajifungua watano kwa mkupuo

Madenge

Member
Dec 2, 2008
93
10
Anastahili pongezi Bi Shija Maige (33) mkazi wa Kahama Shinyanga kwa kujifuangua salama watoto watano salama na wenye afya nzuri. Lakini hivi serikali yetu huwa inawapatia msaada wa kulea endapo ukipata multiple birth kama hii?
 
Lini tena? Si hivi karibuni tulisikia mwanamke kajifungua watoto kibao huko kahama
 
hii imetokea kitambo sana na masikini mama wa watu aliwapoteza watoto wake. mara ya mwisho habari zake kuandikwa alikuwa amebaki na mtoto mmoja tu kati ya hao na alikuwa bado hospitali na mama mwenyewe kachanganyikiwa vibaya. ee Mwokozi usitupite unapozuru wengine
 
Back
Top Bottom