Kuna tetesi juu ya ujenzi wa hii barabara kwamba hautaanzia Morocco kama ilivyoelezwa hapo awali badala yake utaanzia Mwenge hadi Tegeta Wazo kwa kiwango cha njia mbili.
Sababu eti kutoka Morocco...
Hapa ofisini kwetu kuna kaka mmoja mwanasheria. Anaheshimika na watu wote kutokana na tabia yake ya kuwahi sana ofisini, unadhafu na ukimya wake.
Leo nimewahi sana kufika ofisini kwa kuwa nilikuwa...
Nimeulizwa swali ambalo nimeshindwa kulitolea majibu. Hivyo nikaonelea nililete hapa JF, na kwa kua naamini hapa jamvini pana vichwa vilivyojaa hekima kwa kila nyanja jibu litapatikana. Swali...
Kuna jambo moja linanishangaza na kuudhi. katika barabara nyingi ziendazo mikoani- up country- kuna vituo vya mizani kupima uzito wa magari -mabasi ya abiria na magari ya mizigo. sasa utakuwa...
Forum:
Uchaguzi Tanzania 2010
<LI id=thread_67661 class="imodselector threadbit new" title="nimewahi sikia na kusoma through internet kuhusu haya magonjwa yanaitwa sexual disoder but...
Hivi hawa dawaco tegetammelogwa??au nyie kazi zenu nikukimbizana na wenye mahotel mkubwamakubwa??
Aingi akilini shirika linatumia pesa nyingu kununua mitamb yakuzalisha maji halafu maji...
Teenage girls undergo breast ironing in Cameroon
Affecting one out of every four girls, the brutal practice of "breast ironing" is on the rise in the African country of Cameroon. The...
Jana nilikuwa safarini toka Dar kuelekea Mbeya kwa kutumia usafiri wa mojawapo ya basi la kampuni kubwa hapa nchini. Safari yetu ilikuwa nzuri toka Dar asubuhi hadi mida ya mchana saa saba...
Juzi nimesikia habari ambayo inasikitisha na ni aibu kwa taifa letu, Yaani hospitali kubwa ya taifa ambayo inaonekana ndo mkombozi wa afya zetu endapo hizi hospitali ndogo ndogo zitashindwa...
Kwa wakaazi wa Mbeya, nimepata taarifa kuwa mmoja wa wakazi maarufu wa mji wa Mbeya mzee Sombrero amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Alikuwa mfanyabiashara maarufu katika sekta ya Hotel, ndiye...
Mama mjamzito ajifungua mayai mawili badala ya mtoto katika hospitali ya misheni ya Ndala- Nzega, Tabora. Habari zinasema ya kuwa mama huyo alikuwa anahudhuria kriniki kama kawaida na siku...
Nadhani bongo wapo hawa..
Who am I? Man with no memory, found injured in city centre, makes desperate appeal to public to identify him
Last updated at 2:57 PM on 23rd July 2010
Police in...
Nahisi wanapoelekea ni karibu na air time change\hawa waungwana watu walijua ndio wamekamata maslahi ya national carrier lakini hivi karibuni wamenisikitisha sana likiwemo tatizo la leo asbhHivi...
Tuwekeni visingizio pembeni. Maisha yetu ya baadae hayana budi kujengwa sasa hivi. Nina uhakika vijana wengi hamtaisoma hii makala kwasababu tu ni ndefu...
Jimbo la Urambo leo lilizima kwa maandamano makubwa ya kumpokea kamanda mteule Bwana Ally Maswanya ambaye ni kurugenzi wa kampuni ya Zain kanda ya Ziwa, maandamano hayo yalikuwa na lengo la...
Jamani naombeni Msaada kwa mtu yeyote anayefahamu, ni nani hasa anayejua Shareholders wa Mirambo Company ambaye ina shares kwenye kampuni ya Vodacom Tanzania?
Kuna tetesi ya kwamba Prof. Beno...
5 Things to Do When the Boss is Wrong
By Suzanne Lucas
July 21st, 2010 @ 3:15 am
So, it turns out that Apple knew about the antenna problems with the new Iphone, but CEO Steve Jobs liked...
Tanzania ni nchi inayozingatia sheria na uhuru wa mtu binafsi bila kutizama jinsia,rangi na utaifa au ukabila na kuzingatia hayo ni vema kwa Tanzania kujari na kutoa fulsa ya wananchi wake kutoa...