Kwa wakazi wa Mbeya: RIP mzee Sombrero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wakazi wa Mbeya: RIP mzee Sombrero

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chibhitoke, Jun 1, 2010.

 1. c

  chibhitoke Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wakaazi wa Mbeya, nimepata taarifa kuwa mmoja wa wakazi maarufu wa mji wa Mbeya mzee Sombrero amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Alikuwa mfanyabiashara maarufu katika sekta ya Hotel, ndiye mwenye jengo zilizopo ofisi za Vodacom Mbeya mkabala na Aghakhan Hospital.

  Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160

  Mkabala na Agakhani mbeya kuna ofisi za Zantel na SIO za Vodacom.
  Anyway RIP Mzee Sombrero.
   
 3. R

  Rubuye123 JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2010
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,443
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  jamaa inaelekea katoka na hajapita mbeya muda kidogo.kweli jengo la mzee sombrero aliwapangisha voda zamani sana na walishahama, sasa hivi jengo la sombrero kuna ofisi za zantel.nywayz,pole wafiwa,mungu awasaidie
   
 4. c

  chibhitoke Member

  #4
  Jun 1, 2010
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rubuye,
  Nashukuru sana ni kweli nilipita Mbeya siku nyingi sana, duu mambo yamebadilika sana.
   
 5. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  R.I.P.MZEE SOMBRERO
  kwa ujumla mimi nina kumbukumbu nyingine kuhusu hiyo hotel,BABA yangu alipiga mzinga wa pikipiki usiku wa kuamkia februari16 mwaka 1988 hapo nje ya SOMBRERO HOTEL,na akafa hapohapo,kwa mlioishi mbeya miaka hiyo mtakumbuka.kama mnaMkumbuka huyu mzee wangu aliyepata ajali alikua mwenyekiti F.A.T mkoa na alikuwa afisa ardhi mkoa pia.R.I.P PAPA.
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Pole sana babu kijana.
   
 7. M

  Maskini Mimi Member

  #7
  Jul 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2008
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni wafiwa. Mungunt akupeni subira. Sombrero was a real gentleman. i had an opportunity to meet him many a times when i used to go to Mbeya.

  RIP Mzee Sombrero
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi ameni...........
   
 9. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Ooh! God Ibrahim Sombrero is gone? RIP man. dah! huyu mzee ndio alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo waliojikita katika biashara za vyakula/hotel katika mji wa mbeya in 80s mpaka 90s wengine walikuwa akina Mwambusi.
   
 10. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...miaka hiyo mwenyekiti wa FAT mkoa wa mbeya nadhani alikuwa marehemu Abani Nusura yeye alifariki kwa maradhi ya ulcers na alikuwa akiishi majengo malawi road jirani na shule ya msingi mbata!!!
   
 11. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Hilo jengo likiwa katika hatua za awali za ujenzi lilikuwa-condemned ilisemekana baadhi ya nguzo zake zilielekea kupinda kutokna na uzito nadhani ratio hazikuwa sawa wakati wa ujenzi...kumbe baadaye waliruhusu project iendelee??
   
Loading...