Dawasco tegeta usingizi gani huo???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawasco tegeta usingizi gani huo????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Jul 25, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa dawaco tegetammelogwa??au nyie kazi zenu nikukimbizana na wenye mahotel mkubwamakubwa??
  Aingi akilini shirika linatumia pesa nyingu kununua mitamb yakuzalisha maji halafu maji yanapatikana nyie mnachezea kwakuyaona yanamwagika misimu miwili yote nanyie mkiwa mashuhuda!!Ya elekea meneja wakanda yakinondoni hajui kazi yake.
  Mfano njia yakwenda katika shule ya Pius Msekwa karibu na kituo cha polisi kuna mabomba yamekatika yanatoa maji miaka 2-3 yanamwagika tu!!
  Sijui ninani anawaongoza hawa watu inatia kero na kinyaa!!!
  DAWASCO AMKENI FANYENI KAZI KWAUFANISI.
   
Loading...