uhuru wa mawazo binafsi ..............!

kawaida

New Member
May 28, 2010
4
0
Tanzania ni nchi inayozingatia sheria na uhuru wa mtu binafsi bila kutizama jinsia,rangi na utaifa au ukabila na kuzingatia hayo ni vema kwa Tanzania kujari na kutoa fulsa ya wananchi wake kutoa mawazo yao bila kizuizi chochote kutoka katika ngazi yoyote iwe ya chama au serikari hivyo basi watanzania wengi hivi sasa wana mawazo na maoni mengi juu ya serikari na hata mambo ya kawaida yanayotokea katika maisha ya kila siku kuanzia ngazi ya mtaa,kata hata wilaya ikiwezekana hata mkoa...

SWALI_ je ni vema kuwa na sehemu maarumu ambayo mwenye hoja au maoni ata simama na kutoa dukuduku lake mbele ya vipaza sauti vikubwa ili kilamtu asikie na ujumbe ufike kwa walengwa) ukiachilia mbali zile sehemu maalumu zilizotengwa ambazo si wote wanaweza kufika na kutoa mawazo yao?
 
Huo utakuwa wendawazimu..

Ok, btw, leo nazidi tu kupata mawazo mapya ya kibiashara hapa JF.

Karaoke shop..!!
 
Back
Top Bottom