Je, Governor wa BOT ana hisa kwenye kampuni ya Vodacom Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Governor wa BOT ana hisa kwenye kampuni ya Vodacom Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by payuka, Jul 22, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jamani naombeni Msaada kwa mtu yeyote anayefahamu, ni nani hasa anayejua Shareholders wa Mirambo Company ambaye ina shares kwenye kampuni ya Vodacom Tanzania?

  Kuna tetesi ya kwamba Prof. Beno Ndulu ana shares za Kutosha Kwenye Kampuni ya Mirambo, je habari hizi zina- Ukweli?

  Hii ni pie-chart niliyoipata kwenye website ya vodacom Tanzania
  [​IMG]
   
 2. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  May be yes may be no.
   
 3. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hawa jamaa wa mirambo wana akili!!! watakuwa wanapata bonge ya gawio!!!!!!!!
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,176
  Trophy Points: 280
  Mirambo = Vodacom = Rostam Aziz = EPA = Governor of BOT.

  Wakati EPA inaenda down na Balali, Prof. Ndulu alikuwa Naibu Gavana, sasa unategemea mchongo alikuwa haujui ? Profesa mzima ? Bongo ?

  Na kama EPA aliijua basi yupo katika cahoots kama si payroll kabisa ya Rostam, sasa kama kalipwa na hisa wala haishangazi.

  Kwa hiyo sitashangaa sana nikisikia Governor ana shares, a huge breach of checks and balances, banking compliance and a recipe for insider trading and all kinds of nepotism.

  What am I talking about, as if it all didn't happen already.
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mwanzo wa ngoma ni LELE!
  nilishasema kuwa huyu Beno alikuwa msaidizi wa Balali, sasa mnategemea awe msafi kivipi kama hajawekwa pale kufukia mashimo yaliyoachwa wazi na BALALI?
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  it was planetel wakati filimbi ya richmond ikipulizwa sana, sasa ni mirambo? ................au ndiyo yale yale kwa kuwa spika anatoka urambo tunamdhihaki kwa kuanzisha mirambo kama ambavyo mweka hazina wa chama cha m alikuwa kigoda ikatengenezwa issue ya kagoda?
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,176
  Trophy Points: 280
  Daang,

  Na PM alitoka Monduli wakatengeneza Rich-Monduli. Bongo tuna kazi, ukiona tunaweza hata kuziambatanisha scandals na majimbo ya watu basi ujue zinafurika.
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mkuu nasikia hiyo Rich haimaanishi tu kuwa Utajiri-Monduli. Ni jina la ka first born ka-mkulu
   
 9. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jamani katika pita pita nimeipata hapo Chini: ( Lakini Kuna chanzo Kimoja Kimenihakikishia kuwa kuna mchango wa Beno Ndulu Kwenye Kampuni ya Caspian - Iliyokuwa inamilikiwa na Rostam Aziz na hivyo kufanya siri nzito Katika umiliki wa shares za Vodacom); Kifupi ni kwamba kuna watu wanaojificha kupitia migongo ya hao wanaoonekana ndo shareholders wa Mirambo Ltd  Peter Noni na Rostam - The EPA Connection
  Peter Noni na Rostam ni wabia wa biashara (Vodacom). Peter Noni ni shahidi wa serikali katika kesi za EPA zinazoendelea. Alikuwa ni bosi wa kina Imani Mwakosya, Esther Komu na Bosco Kimola. Katika ushahidi wake mwanzoni mwa mwaka huu aliiambia mahakama kuwa malipo ya EPA yalifanyika kwa idhini na ujuzi wa moja kwa moja wa Gav. Ballali. Alishuhudia mwenyewe kuwa taarifa zilitoka kwa Gavana kuja kwake, na baadaye kwenda kwa kina Imani.

  Niliandika kwenye kijarida cha Cheche wakati nazungumzia mafisadi (mwishoni mwa mwaka jana) kuwa Peter anatakiwa kuwa miongoni mwa watuhumiwa wa wizi huu lakini nilielewa kwanini asingeweza kusimamishwa kizimbani - kwa sababu ni mtu mmoja ambaye anajua connection ya Rostam.

  Mfanyakazi wa BOT ambaye ana uwezo na fedha ya kuanzisha kampuni ya Planetel (ningependa kweli kujua kampuni hii ilianzishwa lini na wana hisa wake!) na kuwa na hisa kubwa tu kule Vodacom ambazo walikuwa waziuze (sijui kama tayari wameziuza) kwa kampuni ya Mirambo inayomilikiwa na Rostam!

  Mpango huo ulifanikiwa kwa ushirikiano mkubwa na usaidizi wa aliyekuwa Waziri wa Miundombinu Bw. Andrew Chenge.

  Well.. je waridi likiwa na rangi nyingine laweza kuwa si waridi?
   
 10. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Guys Benno Ndulu had a life before he became the Governor of the BOT. He worked for the world Bank for more than ten years, first in Dar, and then in DC, before then he worked for the AERC ( African Economic Research Consortium) in Nairobi Kenya in a very important capacity. Prof. Ndulu was elected Deputy Govenor a few months before Balali died, they have never worked together at the BOT. Ndulu was actually brought to the BOT after the EPA scandal. It is Ok to critisize him but we need to have our facts straight.
   
 11. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Lunanilo, what about conflict of interest and Good Corporate governance issues if the allegations are true?
   
 12. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #12
  Jul 22, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Hawataki watu wawekeze kwa haki kama mali ni zake na amewekeza hakwepi kodi tatizo nini tuwatakie mafanikio na kupawa mikopo wale wanaoonyesha njia
   
 13. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  It was not accidental that Noni was appointed the CEO of Tanzania Investiment Bank; where millions of shillings have been pumped by the government [read BOT] ostensibly for the purpose of revamping the economy . The appointment was strategic with the sole purpose of being able to facilitate easy access of monies to the powers that be. As usual Rostam was instrumental in this appointment as in other crucial choices!!Working for the world bank or AERC does not insulate Ndullu from being co-opted into the Tanzanian finacial mafia!! Do you know that many world bank officials have been convicted of corruption charges?
   
 14. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  This is an allegation as you correctly point out. As for the conflict of interest, I think we threw that away when it was decided that we no longer follow mwongozo wa TANU wa 1971, should BJN be the only official who can not invest? ( if he has shares in VODACOM)

  Is he the only decision maker in day to day policies of the Bank? What about directors of respective Departments?

  Lets wait and see if there is a scandal it will come out. We will discuss it then and I will eat crow.
   
 15. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Litabaki kuwa waridi...na kama sio wao wajukuu zao....
   
 16. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  hiyo mirambo ni kampuni ya rostam aziz na kwa bongo ndio mwenye sauti kubwa huko voda though nimesikia hivi karibuni anataka kuuza hisa zake zilizopo vodacom tanzania
   
Loading...