Unaelewa Unachosema

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
Jamii forum ni sehemu mzuri ya kujua uelewa wa watanzania wengi, jaribu kupitia hoja mbalimbali na uangalie comment za watu.

Hii sehemu kila mtu anahaki ya kutoa mawazo yake lakini mawazo yetu huwa hayafanani kwanini kila mtu ana upeo tofauti kulingana na elimu yake,kipato chake, exposure na social interaction. Mwingine utakuta mawazo yake ni mgando kabisa lakini ni ya kwake ww hujui uwezo wake wa kufikiri umeishia wapi labda elimu yake ni ndogo kuliko yako au kubwa kuliko yako, basi tueleweshane taratibu twende wote pamoja.

Kitu kilichonifanya niandike ni ile hoja ya "MENGI KAFUMANIA" kwa uchunguzi wangu watanzania wengi hawapendi kufuatilia maisha binafsi ya mtu ni nadra sana, sio kwamba ni utamaduni wa kitanzania bali wa kiafrika kwa ujumla.

Huu utamaduni wa kufuatilia maisha binafsi ya mtu yapo Amerika na Ulaya, dunia kama kijiji na jambo hilo lipo kwetu sasa.

Ndugu Mengi ni mtu mkubwa katika nchi labda akitoka Nyerere anafuata yeye ni heshima ambayo nampa mimi sijui ww, basi kama ndugu Mengi ni mtu mkubwa basi kila mtu anamuangalia yeye na anatakiwa awe mfano mzuri na wa kuigwa kwa vijana wetu na mimi pia kwa mi kijana pia. Hakuna mtu anaemlazimisha awe na mwenendo mzuri bali yeye kama yy na nafsi yake anatakiwa awe kioo kwa jamii.

Hasara ya kuwa mtu maarufu ni kwamba kila mtu atasema chochote kuhusu maisha yako....hayo ndio malipo...na uwe tayari kupokea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom