Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vijana ni vijana wa ccm na chadema.Tofauti ni kwamba wa Chadema ni waheshimiwa na wanaongea lugha ya wananchi wote (+waliokomaa kifikra).Vijana wa chadema wanafanya vitu practical na wakiongea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tulishasema jaman hapo mwanzoni kuwa Loliondo patakuwa makaburini, ooh! watu wakaanza kututukana mara nyie mmetumwa ooh mara hili! Sasa mapema kabisa ukweli umekuwa wazi! Ukweli la suala la...
0 Reactions
79 Replies
8K Views
Niliwahi kuona misuguano kati ya magazeti ya IPP hapo nyuma na jamii ya kiislam. lkn kwa sasa yametatuliwa na yameondoka. nimewahi kusoma tahariri ya tzdaima ikipinga waislam kupewa mahakama ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya Babu wa Loliondo aliyekuwa Mchungaji mstaafu wa KKKT Mch.Mwasapile kuanza kutoa tiba kupitia dawa aliyodai ameoteshwa na Mungu...Kanisa lilimrudisha kazini haraka...Je? Kwanini...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
WANATAALUMA wa vyuo vikuu wameeleza kusikitishwa kwao na hatua ya serikali kutaka kuingilia uhuru wao, jambo ambalo linaweza kusababisha mvurugano. Wakizungumza na Tanzania Daima wanataaluma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman walikuwa wapi hawa? eti siku hizi ndo oooh nimeoteshwa jaman hawa ni wajasiriamali tu wasitumie njia ya ndoto wala Mungu! Ina maana Mungu amerudi kwenye mizizi tu? kazi kweli kweli yaani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Watu wa China amepinga mashambulizi yanayofanywa na nchi za magharibi nchini Libya kwa kisingizio cha kudhibiti a 'non fly zone'. Amesema makubaliano yaliyofikiwa na UN kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
RAIS Jakaya Kikwete atalazimika kupunguza safari zake nje ya nchi na kutumia muda mwingi kushughulikia masuala ya ndani ya nchi ikiwa anataka kumaliza vizuri katika kipindi chake cha mwisho cha...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Hivi naomba kuuliza utasikia bonyeza alama ya reli #!je reli ilikuwa yakwanza kuwepo kabla ya alma hiyo ya reli!!??Au maandiko ndiyo yakwanza kabla ya reli??
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mgambo wakiimba wimbo maalum kwa kilugha wenye ujumbe wa kukomesha maandamo yanoyafanywa na Chama cha CHADEMA. hapa ni wilayani kwimba mwanza Hebu waone, T-shirt za bure zinawaponza masikini...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
baada ya kasi ya maandamano kushika kasi ghafla tulisikia kauli kila upande. waislam wamesema, wakiandamana na sisi tutaandamana wakati huo huo.hili ni tishio kubwa kisiasa na kijamii. hizi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msajili John Tendwa na waziri mkuu Mizengo Pinda kasomeni wasia wa mwalimu Nyerere kwa ccm alioutoa 16/08/1990 alisema 'Chama chetu si chombo cha uchaguzi kinachowashwa wakati wa uchaguzi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kitu kisichopingika kwamba serikali inaonekana kukubaliana na tiba ya Babu wa Loliondo kwa kuamua kumpa misaada ya magari, manesi na ulinzi, vitu vinavyogharamiwa na kodi za umma. Kwa hali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimejaribu kutembea sana Zanzibar.lkn sijaona majina ya shule (kwao huita skuli) yenye majina ya wanasiasa. kwa mafanio majina ya shule ya wanasiasa ni wale waliopigania ukombozi wa tanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Be carefully brother !!! Sikiliza hiki kipande kwa kina na utafakari maneno anayosema huyu muungwana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
eti leo yanga na azam imekuaje embu 2julisheni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jf,kwa wale msio mjuwa january makamba.(aka makaptura) karibuni January Makamba.com cheza na hiyo link upate habari zaidi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu leo mchana nimeoteshwa kuwa Serikali ya Vilaza itaondolewa madarakani na Chadema na kufilia mbali. Serikali itayoshika madaraka 2015 itawafunga Mafisadi wote waliolifisadi hili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wachungaji wa makanisa tuiombe tanzania imevamiwa manabi wa nguvu za giza ,cha kushangaza wanafanyakazi kwa bidi na matawi yao yamenza kusamba ususani tabora ,mbeya ,arusha na sehemu zingine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vyombo vya habari vya Magharibi vinatudharau sana Waafrika. Soma hapa wanavyozungumzia tiba ya Loliondo kusema Wa Tz watu wanaojihusisha na ushirikina hata kuuwa Albino kwa imani hizo. Kwanini...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Back
Top Bottom