Natafuta mke wa kuoa! serious nat joking | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mke wa kuoa! serious nat joking

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by alfanlully, Nov 12, 2010.

 1. a

  alfanlully New Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hellow guys! natafuta mke wa kuoa... naona muda wangu umefika...
  '
  sifa
  Awe mweupe soft color au black beauty.
  Asiwe anakunywa pombe, wala kuvuta sigara
  aswe changudoa,
  Awe amemaliza form four na kuendelea,
  Awe anajiheshimu pia na kuheshimu.
  Anayejua kucare, and understanding
  Awe na true love
  Sichagui kabila, mkoa wala dini
  Awe na umbo la kuvutia
  asiwe mnene awe wakat kma anaelekea kwenye model hiviumri 18 mpaka 23,

  Jinsi gani ya kunipata

  use dic 0789444546

  nitumie msg mie nitakujibu, usipige tafadhali wala kubip
   
 2. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  kila la kheri kaka
   
 3. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 422
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  sidhani kama u sahihi sana kutumia jamvi hili kumpata mwenzi wako wa maisha!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
  kwa mavigezo yako ukimpata humu mi najinyea hapa hapa bora uende mwenyewe street ukawaface
   
 5. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  umri huo ulikua ukinitongoza nakusemea kwa kaka yangu na nilikua najiona mtoto mwenye kujali masomo yangu tu,wewe unamtafuta wa umri huo umuoe,wee mwenyewe una umri gani?
  hujasema chochote kuhusu wewe mbona?
   
 6. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kazi unayo, huu wote ni uoga wa kutongoza au una jambo jingine. jikakamue mtoto wa kiume, jitoe muhanga, tongoza
   
 7. doup

  doup JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  anamaanisha hapa ni mwanzo tu, na kuna ma-great thinker ambao wanawafahamu mabint huko mtaani wanaotamani kuolewa na vigezo vya jamaa wanavyo, bisi na msiweke kauzibe wapeni hiyo deal wachangamkie, yaani kama vile kutafuta kazi jukwaa husaidia
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Mke wangu anavyo vyote, vipi nikuuzie mpwa!!! haya just kidding but my ushauri; usiende kutafuta mke kwa kutangaza vigezo, they are good pretenders waweza pata vigezo vya kichina na vikija chujuka ukimbie bure, tafuta kwene net mashairi ya Lucky Dube ya It's not Easy nafikiri utapata ushauri zaidi! au Julieth and Romeo!!
   
 9. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,653
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Pumbavu! Mijitu ya dizaini yako inaboaaaaaaaa! Ndiyo waleeee, wakiona kichaka tu, mavi yamebana wanataka kunya...Get some life Nigga! Nyambafu kabisa!
   
 10. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ningekushauri utembelee blog ya kiswahili ya kutafuta marafiki (www.wabongomeet.blogspot.com) . Ninaamini urafiki ni muhimu kabla hujafikia hatua ya kufunga ndoa.
  Nakutakia mafaniko mema.
   
 11. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huwezi kutafuta mke wa kuoa - unaweza kutafuta binti wa kuoa. Utaoaje mke? Yaani uoe aliyekwisha kuolewa? Mke=mwanamke aliyeolewa!
   
 12. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  mbona wewe hujaweka sifa zako? umesema huchagui kabila wala dini je chama cha siasa?akiwa mpinzani?
   
 13. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Na siku hizi chama cha siasa ndio kinamata zaidi katika kumtafuta mwenza wa maisha kuliko dini+kabila.

  Aweke wazi ili warembo wanaotaka waende wakiwa wanajua anataka wa chama gani (chaka Chua Matokeo au Chadema?

  Jokin...... Lakini kusema kweli, huwezi kumpata mwenza wako wa maisha kwa matangazo kama haya, hasa ukizingatia katika ulimwengu tulionao sana, ni vigumu sana kutambua tabia halisi ya mtu, unless unamjua kwa muda mrefu, kiasi cha kujua anapo'pretend na anapokua real.

  Ushauri wangu, nenda street, tafuta mwenyewe mjuane kwanza, muende kwenye urafiki, then u'galifredi and boifredi, baadae mtakuwa wachumba, then mtakuwa mke na mume, not otherwise.
   
 14. E

  Edo JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Jamani mkiona hivyo mjue huko kote amekwama (kwa sababu zozote zile) ndio maana kaja jamvini. Mfumo wa maisha hubadilika na mtandao ni sehemu ya mabadiliko, nashauri tusimkatishe tamaa ila tumpe ushauri utakaomsaidia baada ya kupata list ya anaowataka !
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Nenda kwenye nyumba za ibada waone viongozi wako wa dini, lazima watakupatia list ya wadada wanaotafuta wachumba, niliitwa na mtumishi flani hivi miaka ilee kabla sijampata shemejio na akaniuliza kwa nini siioi? au nashindwa kutongoza? na kama nashindwa basi yy alikua na list ya wadada, ndo nikabaini kua wadada wengi huenda kwa watumishi wawatafutie wenza, ila kaka, weye watafuta mke au binti wa kua mke? kama ni mke njoo nikuuzie wangu!!
   
 16. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hahahaha mjomba unataka kuuza mke?
   
Loading...