Leo tuwafahamu devil worshipers

jamani hata hawa

sign_of_satan24.jpg

sign_of_satan26.jpgwolves_hinn_2.gif


Benny Hinn?

sign_of_satan32.jpg


sign_of_satan27.jpg
 
Hii ni alama inayo tumiwa na viziwi, pale wanapotaka kusema "I love you".

ily_asl_1024h.gif
 
Harooo Preta umenipeleka mbali sana!! Nikichunguza kuhusu jinsi PESA inavyotelemshwa kwa mtindo mmoja kwao naona wote ni wafuasi wa hicho kikundi!!
 
Ili idea nzima ya "devil worshippers" iwe na maana, inabidi unihakikishie kwamba the devil is real.

Unawezaje kunihakikishia mtu nisiyeamini kuwepo kwa mungu wala shetani, mtu ninayeishi kwa kujua tu, nisiye imani, kwamba the devil is real and devil worship is something that should be taken seriously ?
 
iko siku hata mimi kauzu wa watu nikija kuwa maarufu niko na mishemishe yangu jukwaani bahati mbaya katika kuongea vidole vikajikunja kiasi mtasema ooh kauzu devil worshiper
 
nini maana ya devil worshiper?

Siwezi kubali au kukataa kuhusu hao watu hapo juu,
kukunja au kuonesha ishara kama hiyo sio lazima uwe devil worshiper,mimi na mdogo wangu nakumbuka enzi hizo za utoz ndo ilikua style yatu ya kupiga picha. Lakini sio devil worshiper,...

Kama nilivo kosea mimi pasipo kujua,na mara nyingi inatokea kwa watu wengi,haimaanishi kuwa ni devil worshipers.
Unapokua unaongea kwa mfano,ni vigumu kujua unapo onesha kidole au msisitizo flani vidole vyako vime kaa vipi!

Kama nilivo sema,sijui kama wanahusika au la,ila ninacho amini ni kwamba "MUNGU NDIYE HAKIMU WA KWELI" anajua ndani ya mioyo ya watu kuna nini baada ya kuonesha ishara hiyo!

Tusiwaone wakosefu,lakini pia tusiwaone kua hawajui wafanyacho kila wanyapo hivo!

Ni busara zaidi ukimuona mtu kafanya ishara kama hiyo muuliza "unajua maana yake?"!
Nawakilisha hoja!
 
porojo Tu, walijuaje ni alama za mashetani kama nao waliotoa taarifa hizo si mashetani, alcadabra wajinga ndio waliwao.
 
Back
Top Bottom