Gharama za Ku-"publish" Gazeti au Jarida Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za Ku-"publish" Gazeti au Jarida Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TingTing, Nov 10, 2010.

 1. TingTing

  TingTing Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimejitahidi ku-google habari zaidi kuhusu gharama za ku"publish" jarida au gazeti nchini mwetu lakini sikufanikiwa. Kama kuna yeyote anayejua kuhusiana na gharama hizi tafadhali naomba anijuze na ni wkampuni gani ndio zinafanya hizi kazi. Kikubwa ni kujua "standard" gharama za kwa document ambayo iko black/white and/or coloured. Asante
   
 2. B

  Bugaisa Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes, kama uko dar kuna makampuni mengi sana yana-publish magazine na vijarida vingine (flyers, brochures, posters etc). Mojawapo ya makampuni haya ni TANZANIA PRINTERS LTD. Ni wazoefu sana. Contacts zao ni: 0784 558787 au 0784 558788, website: Tanzania Printers Ltd.. Ukiwasiliana nao unaweza kuwa specs ya kazi yako then wakakupa costs. Kampuni nyingine ni DTP Tanzania (nenda kwenye website yao ya: www.dtptz.co for more details na contacts zao). mie nafanya designing pia (flyers, logo, calendar) my contacts: richie_massive@yahoo.com.

  ALL THE BEST!!!
   
 3. TingTing

  TingTing Member

  #3
  Nov 13, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante sana. Nitawacheki hao niwasikie gharama zao. Nashukuru, email saved for future references. Thanks
   
Loading...