Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

It is one of the biggest companies in the world and now the internet giant Google has also been dubbed the most employee-friendly. Whether your playing volleyball, taking a break in one of the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 10 wa nchini Hipsania amejifungua mtoto baada ya kufanya mapenzi na mtoto mwenzake. Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 10 amejifungua mtoto katika mji mmoja wa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mwanamke mmoja wa nchini Uingereza anawaumiza vichwa madaktari ambao hawajui imekuwaje mtu mmoja akawa na aleji na karibia kila kitu duniani kuanzia pesa, vyakula na hata maji. Yvonne Simon...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mtalii wa Israel alisababisha mtafaruku mkubwa kwenye meli nchini New Zealand na na kupelekea baadhi ya watu wafikirie kujirusha baharini kwa hofu ya bomu wakati Muisrael huyo alipoamua kutoa zana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mbunge wa vunjo agustino lyatonga mrema ametoa nyumba yk huko kiraracha itumike kuhifadhi watuhumiwa wa uhalifu waliokamatwa kijijini hapo na sungussungu Jambo lililosababisha kuchomwa kwa nyumba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nakuwa nasikitishwa na thread zenye kukinzana kuhusu itikadi za member wa jf wengine wamekuwa wakisema jf inaudini wakristo,nawengine wakisema jf ni ya wa CDM sasa mimi sijui mnadhani nini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF wote, wenye mtazamo na itikadi kama zangu, ziwe za kidini, kisiasa au kijamii na wale wenye itikadi tofauti na zangu. Naomba kwanza kuomba radhi kwa wote niliyowaudhi kwa sababu tu ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dr remmy ongala amefariki......mungu ailaze roho yake mahali pema peponi ameeennilipokuwa mdogo as i was growing up,nyimbo za remmy zilikuwakama ndo sounds of tz...those days only radio tanzania...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Dk Chami: Wafanyabishara ‘feki’ wageni ondokeni nchini Send to a friend Friday, 10 December 2010 20:49 Fidelis Butahe WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk Cyrill Chami jana alitangaza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Inasikitisha ila ndo ukweli wenyewe! Kutokana na taarifa ambazo nimepata kwenye mtandao wa facebook mda si mrefu uliopita kwenye status update ya msanii profesa Jey Mwanamuziki Nguli mzee Dr...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu hivi mwaka ni miezi mingapi??12 au 13?? Mfano December to December nimiezi 12??au 13??
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Zaidi ya mia nne ya walio kuwa wafanyakazi wa kiwanda cha nyuzi kilichoko mkoani Tabora wamepoteza ajira zao.. source: tbc1
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dr. Mwinyi Vuai Nahodha Shein Maalim Seif Bilal SMZ HAKUNA mkristo hata mmoja!!!! Hapa tena mtasema Yerusalem ni mdini. Duh, nyie kweli noma. Watu tusiseme ukweli?
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Katika write up za research kuna goal (broad objective) na Objectives (specific/narrow objectives), kuna rafiki yangu kaniuliza nini goal ya maisha yako unayotaka ku-fullfill? nime-stuck naomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii ni kweli CCM ilitakiwa kufutwa kwa mujibu wa katika ya jamhuri wa Muungano wa Tanzania ibara ya Ibara ya 20-(2) Bila kujali masharti ya ibara ndogo ya (1), haitakuwa halali kwa chombo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This is to say hi to all JF members. I appreciate the hot topics and up to date discussions in this forum. Keep it up!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kweli sasa Tanzania imedoda, Umeme mgawa na walisema hakuna mgawo tena, pia maji ya shida hayatoke tangu friday na nipo hapa upanga area. je hii kweli ni Tanzania na huku mitaani kukoje, HAPA NI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
heshima mbele wakuu nikiangalia yalotokea ivorycoast maraisi 2 kujiapisha na kuunda mabaraza 2 ya mawaziri ndani ya nchi moja kweli afrika kuna vituko na wamechoka na serikali ya mseto. kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
lakini ingekuwa wakristo. wangestakiwa kwa sheha. wanapiga kelele. si mnaonaga kama mtu anauza kanda za mimbo za dini vile wanalalama anapiga kelele mtaani? halafu anaamuriwa apunguze sauti...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Zitto adai amelishwa sumu Saturday, 11 December 2010 21:04 Fredy Azzah na Fidelis Butahe MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ambaye jana...
0 Reactions
87 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…