Dr remmy ongala afariki........r.i.p

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,065
2,000
Dr remmy ongala amefariki......mungu ailaze roho yake mahali pema peponi ameeennilipokuwa mdogo as i was growing up,nyimbo za remmy zilikuwakama ndo sounds of tz...those days only radio tanzania ndio ilikuwa hewani..naona kama ile tanzania ya zamani inazidi kupotea....the good old golden days...ambapo watanzania walikuwa ndugu zaidi,wamoja zaidi,na walifanana.....not these days......watoto wanawajua jay z na beyonce kuliko watu kama dr remmyambao nyimbo zao ziliwakilisha maisha ya watanzania wengi mjini na vijijini licha ta dr remmy kuwa na mke mzungu na watoto ma half casts na kuishi maisha ya kisasa kidogo,but nyimbo zake zilikuwa zinawakilisha wanyonge wa tabaka la chinikuna nyimbo moja aliimba kijijini mahindi yakiibiwa naambiwa ni mimi,mjini naitwa mzururaji, ah very classic song......i will be missing u.....dr remmy....
 
Rugemeleza

JF-Expert Member
Oct 26, 2009
668
195
Ni msiba mkubwa kwani nyimbo zake nyingi zilikuwa na si tu na ujumbe mzito bali wenye upeo na maono makubwa. Wakati mwingi huwa ninajiuliza jinsi ambavyo aliweza kufikiria maiisha na ulimwengu kwa upana wake na kuweza kutoa ujumbe mkubwa kwetu sote. Remmy tutakukumbuka kwani nyimbo zako ziko nasi milele. Raha ya Milele Uumpe e Bwana na Mwanga wa Milele Umwangazie. Apumzike kwa Amani.e
 
Dadii

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
370
1,000

R.I.P Ongalla
 
Dadii

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
370
1,000
Kilio cha samaki machozi yaenda na maji.

Mtoto mwenye imani projesta,

siku ya kufa wandugu kwa heri

some of Remmy songs pls add more tujikumbushe na kumuenzi DR wa ukweli, kutokana na adhina ya nyimbo zenye ujumbe mzito aliotuachia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom