Hivi mwaka ni miezi mingapi???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,606
8,657
Wakuu hivi mwaka ni miezi mingapi??12 au 13?? Mfano December to December nimiezi 12??au 13??
 
Kweli kichwa chako kinawaka moto ndugu yangu.... ni miezi sitini ----(sixty)---- 60
Unawezakuona changu kinawaka moto kumbe chako kimeishateketea!tafakari kwanza kabla ya kusema neno ila kama wewe ni mwanafunzi sitakulaumu!
 
Anza kuhesabu miezi kuanzia Januari hadi Disemba utapata miezi mingapi? Na unaweza kuanza kuhesabu Disemba hadi Januari. Ninakushauri tu hesabu hiyo uifanye ukiwa kitandani na sio barabarani.
 
anza kuhesabu miezi kuanzia januari hadi disemba utapata miezi mingapi? Na unaweza kuanza kuhesabu disemba hadi januari. Ninakushauri tu hesabu hiyo uifanye ukiwa kitandani na sio barabarani.

kwa maana hiyo december to december siyo mwaka??
 
Back
Top Bottom