Maji hakuna, umeme hakuna


K

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
700
Likes
53
Points
45
K

Kisendi

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
700 53 45
Kweli sasa Tanzania imedoda, Umeme mgawa na walisema hakuna mgawo tena, pia maji ya shida hayatoke tangu friday na nipo hapa upanga area. je hii kweli ni Tanzania na huku mitaani kukoje, HAPA NI KUCHIMBA KISIMA CHAKO TU ndo dawa.

Ngeleja alisema umeme mgawo itakuwa historia au ni nini sasa hii, Je maji mwandosya upo?? Hii ni noma
 

Forum statistics

Threads 1,235,602
Members 474,678
Posts 29,228,299