Wana jamii ni kweli CCM ilitakiwa kufutwa na msajili wa Vyama 2005? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jamii ni kweli CCM ilitakiwa kufutwa na msajili wa Vyama 2005?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rugumye, Dec 13, 2010.

 1. rugumye

  rugumye JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wanajamii ni kweli CCM ilitakiwa kufutwa kwa mujibu wa katika ya jamhuri wa Muungano wa Tanzania ibara ya Ibara ya 20-(2) Bila kujali masharti ya ibara ndogo ya (1), haitakuwa halali kwa chombo chochote cha siasa kuandikishwa ambacho kutokana na katiba au sera yake;-
  a) Kinakusudia kukuza au kupigania maslahi ya;-
  i. Imani au kundi lolote la dini.

  Na 19.-(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake.
  (2) Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri yaMuungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu ya binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya kazi za serikali.
   
Loading...