Nakuwa nasikitishwa na thread zenye kukinzana kuhusu itikadi za member wa jf wengine wamekuwa wakisema jf inaudini wakristo,nawengine wakisema jf ni ya wa CDM sasa mimi sijui mnadhani nini kifanyike hizi lawama zisiwepo??
Naanza kupata mashaka hata na wewe Kakakiiza...Inakuwaje usipime mambo haya kwa akili zako hadi yakusumbue na uje kuuliza hapa...si unaona sasa umempa uchochoro MS, ANAFLOW KAMA kumsukuma mlevi!kifanyike wakiritso wa jf wawe wastaarabu na wsione jf ni yao kama wanvyoona tz ni yao
Generalization ya kipuuzi na isiyo na utafiti wala mashiko...!...Mmezowea sana kusoma AL-HUDDA, mnapenda habari zote zikae ki AN-NUR!...msinikumbushe mimi thread ya "mtoa pumba wa mwaka JF!"Hilo ni wazi wala halina na shaka, JF ni Chadema, Chadema ni JF. Na uDini upo JF.
Kutatuwa tatizo hilo kwa sasa sidhani kama litawezekana ki urahisi labda mpaka JF iwe ni kijiwe huru na ma mods wawe wanazi wa vyama tofauti na wadini tofauti na si kama ilivyo hivi sasa. Inaonesha wazi kuwa Mods wote ni Chadema na ni wakiristo.
I have a feeling Mbowe ndie mwenye hii JF.