Dk Chami: Wafanyabishara ‘feki’ wageni ondokeni nchini

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
107,422
2,000
Dk Chami: Wafanyabishara ‘feki’ wageni ondokeni nchini Send to a friend Friday, 10 December 2010 20:49

Fidelis Butahe
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk Cyrill Chami jana alitangaza vita dhidi ya wafanyabishara wa kigeni wanaofanya shughuli kinyume na leseni zao, akiwataka waanze kurejea kwao kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria. Chami ametoa agizo hilo wakati mitaa ya miji kadhaa nchini ikizidi kufurika wageni ambao wamejikita kuanzia kwenye biashara kubwa hadi ndogondogo, idadi kubwa ya wanaofanya kazi hizo ikiwa ni Wachina.


http://www.mwananchi.co.tz/habari/4-habari-za-kitaifa/7291-dk-chami-wafanyabishara-feki-wageni-ondokeni-nchini

 

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,844
1,225
Nguvu za soda tena fanta orange.
Hawezi kuwatoa wachina cause kuna mkataba alisaini lowasa wakati akiwa WM
Na kama una kmbkmb aliswma watanzania inabidi tujifunze kichina kwa sababu watafurika ka utitiri
 

bulunga

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
297
225
hizo ni njama za wafanya biashara wa tz, hasa wahindi maana leo wamekabwa koo na wachina ambao bei za bidhaa zao ni rahisi, lakini utashangaa sana hata kule China kuna watanzaina wengi tu ambao wanaishi huko wengine hata shughuli zao hazieleweki, wapo hadi madalali pia kuna watanzania ambao kazi zao ni kutafuta wageni kutoka africa ili wawa tembeze na kuwapeleka sehemu mbali mbali, shughuli zote hizi sio rasmi ukweli zilitakiwa zifanywe na wachina , sasa leo ukisema wachina watoke TZ inamaana hata wa tz waondoke china , japan dubai etc, nafikiri kwa hili waziri amekurupuka, pia akumbuke yeye pia hapa dar sio kwao je arudi moshi, kuna wachaga kila kona ya TZ ambao wanajitafutia riziki, pia warudi moshi, gazeti la leo linasema yeye ni mmoja kati ya wakata magogo kule SAO forest, je huko ni kwao?, waziri fikiri kabla huja ropoka :teeth:
 

Mallaba

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
2,556
1,170
hawa viongozi wanakurupuka tu bila kufikiria, yaani wanasahau kuwa hii ni globalization duh Im very disappointed with surch a crap leader like that
 

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,155
2,000
Sitting behind your computer and start provoking that way doesn't make any single sense. I am sure these people have BUSINESS VISA granted behind the door and it's validity is not less than six months.

So the issue is not as simple as that, but it needs tools and commitment to implement.
 

Prover

Member
Oct 31, 2010
26
20
ajiulize mpaka wageni wanauza kwenye mitaa ya wenyeji zaidi ya wenyeji kulikoni na je wakiondoka hiyo huduma tupate wapi ameelekeza au?
 

Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,525
2,000
Nguvu za soda tena fanta orange.
Hawezi kuwatoa wachina cause kuna mkataba alisaini lowasa wakati akiwa WM
Na kama una kmbkmb aliswma watanzania inabidi tujifunze kichina kwa sababu watafurika ka utitiri
Kwa hiyo aliyetuuza ni Lowassa. Now it makes sense.
 

Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,525
2,000
hawa viongozi wanakurupuka tu bila kufikiria, yaani wanasahau kuwa hii ni globalization duh Im very disappointed with surch a crap leader like that
Siyo crap ndugu yangu Mallaba. Hebu wewe funga virago nenda Shanghai uweke kiosk chako pale kwa sababu ni globalization tuone kama watakuelewa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom