Waziri mwenye dhamana ya serikali za mitaa na tawala za mikoa,kapten George mukuchka amewataka walimu walio chukua fedha za kujikimu na mishahara na kisha kukimbia nayo walirudishe kabla ya hatua...
Diwani wa kata ya Maili moja jimbo la Kibaha mjini, amewekwa ndani na kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na faini ya sh 50,000, kwa kushindwa kulipa kodi ya majengo ya sh 350,000 kwa halmashauri...
Wadau nimeperuzi tena Blogu ya Michuzi na kujiridhisha tena kuwa ana hila na CDM, mpaka sasa haja weka picha za mazishi ya Kiongozi wa CDM Shinyanga, Shilembi ila zingekuwa za CCM haraka zinge...
Hamu ya kuwepo Arusha ni kubwa kiasi ambacho masaa naona kama hayaendi na usiku unakuwa mrefu. lakini Mungu akipenda nitakuwa Tz sunday Dar, Monday Morogoro Tuesday na masiku kadhaa hapo A town...
MWANAMKE mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni mkristo anayeabudu katika dhehebu la Makanisa ya Kilokole amelazimika kupewa notisi na mwenye nyumba wake baada ya kuonekana kuwa kero kwa wapangaji wenzake...
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro limepitisha uamuzi wa kuwalipia ada wanafunzi 8,528 wa shule za sekondari za kata katika manispaa hiyo.
Uamuzi huo...
Watanzania sasa hivi ukizungumzia ufisadi wanafikiria mabilioni, huku wakisahau kuna watu wanaoweza kuondoka ofisini na elfu hamsini kila siku bila ya athari zozote
kwa mtazamo wangu...
Huyu ni reporter mzuri wa TBC1 ambaye ameanza harakati za kampeni kwa kufuata nyayo za Juma Nkamia, mpaka inakera.
Juma Nkamia alikua akiwarusha wapiga kura wake pamoja na vijiji ya kondoa...
wakuu mimi nilinunua toyota cresta juzi nilisafiri nayo kwenda moshi, ina kimbia sana sana....ila chakushangaza mbona kila nikitaka kuipita land cruiser iliyokuwa mbele yangu nilikuwa nashindwa...
nawapongeza sana TRA kwa kuanzisha mashine za VAT. Lakini naona mapato yatakuwa kidogo mno. kwani jamii haikuelimishwa umuhimu wa kudai risiti, pia dukani ukidai risiti unaulizwa unataka risiti ya...
Ndugu zangu nimeshindwa kukiweka kichwa cha habari sawa, lakini naomba kujua ni nani anayetakiwa kuthibiti matumizi ya $ nchini Tanzania? Zamani ilikuwa pesa hizo huzigusi ila kwa kibali maalumu...
What could be more annoying to know that acne marks are still left even after the infection is healed? How ever there are quite a few methods that can remove these marks without visiting the...
wakicheza mpira, mching' alivyoscore kaanza kubondwa na wasudani....eeh kidogo mtanzania nae kaingilia. Jamaa kakata roho wakati anapelekwa hospitali.
Sasa hivi zinasambazwa msg waafrika wote...
Sasa tunajadili ni namna gani au ni wakati gani Mrembo anaweza kuvuliwa taji la Miss Tanzania. kuna warembo ambao wameisha fanya matendo ambayo hayapendezi na bado hawakuchukuliwa hatua yoyote...
Ni takribani miezi mitano sasa TANESCO ROMBO office hawaunganishii wateja wapya umeme. Wamekuwa na visingizio mara hamna nguzo, mara hamna nyaya, mara mita n.k. na wanasema kuwa hawapati vifaa...
wadau wa jf kwa wale wanaujua, air condition katika gari ni vipi inakuwa inaongeza ulaji wa mafuta? ni kweli? na inaongeza ulaji kwa kiasi gani maana ya tofauti? na kunanamna inawezakana kutumia...
Katika hali nisioiamini machoni pangu asubuhi hii,mwanajeshi wa jwtz aliyekuwa akiongoza magari kuingia kwenye pantoni amezua hofu baada ya kumtandika vibao na kumkwinda mwanamama ambaye ni sawa...