Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Jamani tunakufaaa! Pantoni limezima ghafla ktkt ya bahari
Nitaendelea kuwajuza kwakuwa nipo ndani ya hiyo pantoni! Hali ni ya taharuki sana!!!
Nitaendelea kuwajuza kwakuwa nipo ndani ya hiyo pantoni! Hali ni ya taharuki sana!!!