Mtanzania aua Mching' from Mizo-Punjabu University | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania aua Mching' from Mizo-Punjabu University

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sizinga, Apr 29, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  wakicheza mpira, mching' alivyoscore kaanza kubondwa na wasudani....eeh kidogo mtanzania nae kaingilia. Jamaa kakata roho wakati anapelekwa hospitali.
  Sasa hivi zinasambazwa msg waafrika wote wanaoishi india wawekewe sumu kwenye vyakula kulipiza kisasi, tumetukanwa sana waafrika kwenye hili tukio. Jamaa wamekuwa arrested, wasudan 2 na mtanzania mmoja.

  Mizo student killed in Lovely Professional University during football match - The Times of India

  Facebook-ah Johny-a tan post neuh2 ka hmu ve a « Lawrkhawm
   
 2. k

  kabindi JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wamefanya uhuni! kuua mtu bila sababu ya Msingi? kumbuka kila mtu ana haki ya kuishi! Hivyo hatua kali zichukuliwe dhidi yao! na nyie msio husika poleni! lakini kumbuka ndugu yako akiuawa! reaction yake sio ndogo.
   
Loading...