Taasisi ipi rushwa kwao mwiko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taasisi ipi rushwa kwao mwiko?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Apr 29, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Bila rushwa..haki haipatikani....toa rushwa upate haki.....(?)
  rushwa na tanzania dam-dam.....!
  Taasisi ipi rushwa kwao mwiko?
   
 2. mbuva

  mbuva Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hakuna kwa sasa...
   
 3. M

  Martin Mollel Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kagame rushwa ni 6.6 ya viwango vya EABI
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  rushwa ni nini? ukipata jibu basi kila sehemu ipo.
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Rushwa ni adui wa haki,yaani hata kama unahaki ya jambo fulani hutoweza kulipata mpaka umtafute bwana rushwa
  Nasikia hata ktk wanandoa bila rushwa siku hizi hupati unyumba
   
 6. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0

  Hahahhaaaa mambo ya Beijing sasa......Hivi mkutano kama wa Beijing utafanyika lini tena wakina mama?
   
Loading...