TRA na mashine za VAT zisizofaida

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
nawapongeza sana TRA kwa kuanzisha mashine za VAT. Lakini naona mapato yatakuwa kidogo mno. kwani jamii haikuelimishwa umuhimu wa kudai risiti, pia dukani ukidai risiti unaulizwa unataka risiti ya mashine au ya mkono...Pili TRA imembeba mno VODACOM. Serikali imesahau shirika la TTCL ambapo mtandao wao ni mpana na kuibeba VODA. matokeo yake sehemu zingine ni vigumu mno kupata mtandao. Nashauri TRA wawe na upana wa mitandao na iwe rahisi kutuma hizo taarifa.
 
Hizi machine ni another "white elephant" - hamna lolote ni upuuzi mtupu - hata wale "dealers/installers" wao ni hamna kitu kwenye vichwa!
 
Back
Top Bottom