Blogu ya Michuzi na CDM

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
Wadau nimeperuzi tena Blogu ya Michuzi na kujiridhisha tena kuwa ana hila na CDM, mpaka sasa haja weka picha za mazishi ya Kiongozi wa CDM Shinyanga, Shilembi ila zingekuwa za CCM haraka zinge kuwa posted as BREAKING NEEWZ
 
waendelee hivyo hivyo .
Mimi siingi tena kwenye hiyo blogu.(Kwani raha sizijui niache BENZI nikimbilie starlet?)

New habari Corp wanajiendesha kwa ruzuku ya bosi labda naye Michuzi huwezi jua.
Hukumsikia Eginald na Mukama wanawania kuwa na mtandao wa jamii unaowafagilia???
Hapa JF ndio nimefika (hoja kwanza na sio ushabiki wa kichama) A place where CDM and CCM share and exchange fires upon HOJA.
 
Ile blogu ni mali yake (si ya jamii), muache achague kitu cha kuweka apendacho yeye!
 
Yuko huru kufanya atakavyo kwani ni mali yake......

Ukitaka na wewe fungua yako na utaweka chochote unachotaka kuweka.

Michuzi kashajidhihirisha kuwa yuko dam dam na Magamba na muache aendelee hivyohivyoo...

JF tuko kivyetu na hatuangalii wengine wanafanya nini so longer hawatuingilii huku na sisi tusiwaingilie.
 
Mwaacheni atuletee umbea wa mama maajar kule uk na party za kula kuku kule arizona na mama yake, asiache kuleta party story na minuso ya wambea kule califonia ndio kazi yake kubwa.au mimi nafikiri tofauti.Kwani MICHUZI maana yake si mchuzi wa nyama ya kuku au ngombe au mbuzi,au ni mapesa
 
waendelee hivyo hivyo .
Mimi siingi tena kwenye hiyo blogu.(Kwani raha sizijui niache BENZI nikimbilie starlet?)

New habari Corp wanajiendesha kwa ruzuku ya bosi labda naye Michuzi huwezi jua.
Hukumsikia Eginald na Mukama wanawania kuwa na mtandao wa jamii unaowafagilia???
Hapa JF ndio nimefika (hoja kwanza na sio ushabiki wa kichama) A place where CDM and CCM share and exchange fires upon HOJA.

Mkuu kwani kuna ulazima wowote ukifungua Blogu lazima uandike habari za Chadema? ni mali yake muache jitaidi ufungue yako kila siku uweke hizo habari unazozipenda
 
Wadau nimeperuzi tena Blogu ya Michuzi na kujiridhisha tena kuwa ana hila na CDM, mpaka sasa haja weka picha za mazishi ya Kiongozi wa CDM Shinyanga, Shilembi ila zingekuwa za CCM haraka zinge kuwa posted as BREAKING NEEWZ
Ung'ekuwa Shilembi anamkwaruzano na viongozi wenzake...hapo ingeelezewa mpaka kiama
 
Unajua Magamba Watu Wabaya Sana!! Wanaua Proffessionalism za Watu Bila Hata Kuwa Na Huruma, Sijajua Huyu Ndugu walimpa Shilingi Ngapi????? Any way Mchumia Tumbo always Unapomshibisha Husahau Hata Kutumia Akili, Poor Issa Michuzi, Ghafla umejiua Kiproffessional!!
 
Tanzania huru na watanzania huru! kila mmoja anauhuru wakuongea au kuandika analoliona linamfaa, michuzi ametumia haki yake ya msingi,
 
Hata kama yupo huru na Blogu yake lazima akidhi sifa za uandhi za check and balance, kwanini aelemee upande mmoja zaidi?kwanini anaweka ma upuuzi na kuacha serious ishuz
 
Pumba hizi zimenifurahisha kweli kweli! Bado tunafikiri kitamaduni
 
Hata kama yupo huru na Blogu yake lazima akidhi sifa za uandhi za check and balance, kwanini aelemee upande mmoja zaidi?kwanini anaweka ma upuuzi na kuacha serious ishuz
Wewe Bruker (mtumiaji, kwa lugha za kiscandinavia) wapi wamesema ukiwa na blog ni lazima ukidhi sifa za uandishi za check and balance?
 
Unajua Magamba Watu Wabaya Sana!! Wanaua Proffessionalism za Watu Bila Hata Kuwa Na Huruma, Sijajua Huyu Ndugu walimpa Shilingi Ngapi????? Any way Mchumia Tumbo always Unapomshibisha Husahau Hata Kutumia Akili, Poor Issa Michuzi, Ghafla umejiua Kiproffessional!!

Jamani msimlaumu huyu ni mtumishi wa serikali (TISS) unategemea atende tofauti na mtumishi wake.
 
Huyo ni mtu wa intelegensia wa wanamagamba. Anafanya kazi yao, kiblog+ ukameraman ni zuga. Thanx GOD tunamtambua kwa matendo.
 
Back
Top Bottom