Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa wateja wa voda mtakubaliana nami kuwa kuna wimbi la sms kutoka kwa hawa service provider wetu,sms hizi ni za kihuni na zinaleta usumbufu mno,unaweza ukahairisha kwenda chooni ukakimbilia mlio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kanisa Anglikana laiasa Kamati Kuu ya CCM Imeandikwa na Fadhili Abdallah, Kigoma; Tarehe: 18th April 2011 @ 22:40 Imesomwa na watu: 80; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sezibera kumrithi Mwapachu EAC Imeandikwa na James Gashumba wa EANA; Tarehe: 18th April 2011 @ 23:50 Imesomwa na watu: 172; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana nikiwa naangalia taharifa ya habari ITV, Nilimuona spika bwana. Mwangomango akijinadi kujiunga na ccm. Kilichonifanya niandike ni sababu anayoisimamia ya uvuaji gamba<sikufikiria kama mtu...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
nimesikia kidogo nilikuwa nafika tarifa ndo wanamalizia kuelezea ila inasemekana alikuwa na shutuma na mambo ya ruzuku aliyesikia vizuri atujuze?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Last Supper was a day earlier, scientist claims - Yahoo! News read that link and you will be amazed!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania kuna mameya wengi sana. Hata Miji mikubwa ya Dar, Arusha, Mwanza na kwingineko kuna mameya, lakini wote wanafanya kazi zao. Kijana Jerry Slaa amekuwa mstari wa mbele kuuza sura kwenye ma...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huyu jamaa wa Somalia ninvyojua hakubaliki sana nchini kwake na ni kama Rais kivuli. Mbona JK kampa heshima sana kwa mapokezi ya kitaifa ....nk
0 Reactions
23 Replies
4K Views
nipo nzega kikazi,baada ya kumaliza shughuli zangu jioni hii nimepita hapa uwanja wa parking ambapo dr slaa amekua akihutubia mkutano Umati wa watu ulikua mkubwa sana kuwahi kutokea hivi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF baada ya ile kauli ya katibu wa vijana wa CCM taifa wakiwa pale manzese yakuwa meya aliyechaguliwa ARUSHA ataendelea kuwa meya wa jiji hilo hata kama CHADEMA wakitoa lisaa limoja...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
nimesikia kwenye redio sasa hivi kuwa kuna kikombe kimeibuka mbagala, mwaka huu kuna watakaofikiri kuwa ni neema, na kuna watakaozani ni kulichafua taifaletu kwani watu watakuwa wanasema unatoka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mtendaji iringa kajiua, inadaiwa kuwa inadaiwa kuwa alikuwamo kwenye kundi wanaozaniwa wamechangia kwenye upotevu wa pesa za ruzuku. source TBC TAIFA tarifa ya saa mbili usiku huu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni yule aliyekua mhadhiri wa UDSM...amefia Sekuco MAGAMBA alikokua anafanyia kazi tangu ahame...Source: Mimi mwenyewe, ni ndugu yangu,nimepokea taarifa asubuh hii, na ku confirm
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu wanaJF baada ya ile kauli ya katibu wa vijana wa CCM taifa wakiwa pale manzese yakuwa meya aliyechaguliwa ARUSHA ataendelea kuwa meya wa jiji hilo hata kama CHADEMA wakitoa lisaa limoja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa hali isiyoyakawaida vyuo vikuu tulivyo amini kuwa kuna wasomi sasa kuna wahuni. Msomi hujibu hoja si kuzomea hoja. Wanasiasa wawatumia wao hajui. Wakimaliza warudi kuomba kazi kwenye...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Taarifa ya television ya TBC saa saba imeonyesha wananchi wenye hasira mjini Babati walioamua kupasua mabomba ya Mamlaka ya Maji Safi na Taka BAWASA baada ya fujo za kupinga mkazi mmoja mwekezaji...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimetafakari kwa kina juu ya suala hili sijapata jibu, naombeni kushare na wana JF wenzangu kulikoni katika hili. Nimepata kusoma katika makala nyingi sana hapa JF na kwingineko zikisisitiza kuwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hi there!! remember what happened to Kenya's KANU party?, i predict the worse to happen to CCM if it keeps on embracing corruption.My prediction to what will happen to CCM at the end is as...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Awila Silla,Dodoma na Tumsifu Sanga ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kati, Godfrey Mhogolo amesema, matatizo na migogoro inayoikabili Taifa hivi sasa haiwezi kunyamazishwa au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
about us ebu jaribu kupitia iyo link hapo juu na ujiulize kwanini mpaka sasa waziri na maofisa wote wa wizara ya kilimo hawajajiuzulu?!?!:angry::angry::angry:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom