Diwani aswekwa ndani mwaka mmoja na kushindwa kulipa kodi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Diwani wa kata ya Maili moja jimbo la Kibaha mjini, amewekwa ndani na kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na faini ya sh 50,000, kwa kushindwa kulipa kodi ya majengo ya sh 350,000 kwa halmashauri ya mji wa Kibaha mkoa wa Pwani.................................

More info ; mwananchi pg 11.
 
Umejuaje na wewe!!ushalivua ninimpwaa huko huko mwaya
teeeehteeehhh
 
Pole unamiss kidogo jana kuna magamba mengine aka madiwani na mienyekti ya serikali za mitaa yameenda kubomoa nyumba baada ya kulipwa na mtu aliuziwa kiwanja na hao hao kwenye itv ...kumbe cha watu walikuwa nje ya nchi wakarudi na kuweka nyumba zao mbili ......wamechapwa makofi na wananchi mpka mkuu wa polisi akaitwa wakaenda kuwaokoa...yaani yanawarudia best huku mbezi tegeta watu wameuziwa kibao mbuzi kwenye magunia bila kufwatilia wizarani
 
kazi ipo,tena kubwa!! maana baada ya kujivua gamba, nyoka huyu kakomaza sumu ile mbaya!!!!!!!!!!!!! Tutapona kweli????
 
Back
Top Bottom