Asilimia 99 ya wafanyakazi wa serikali ya tanzania ni mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asilimia 99 ya wafanyakazi wa serikali ya tanzania ni mafisadi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JUST, Apr 29, 2011.

 1. JUST

  JUST JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Watanzania sasa hivi ukizungumzia ufisadi wanafikiria mabilioni, huku wakisahau kuna watu wanaoweza kuondoka ofisini na elfu hamsini kila siku bila ya athari zozote

  kwa mtazamo wangu wafanyakazi wengi wa serikalini ni mafisadi kwa sababu wanalipwa mishahara midogo lakini wanaishi maisha makubwa na kumiliki mali ambazo kwa maisha yake yote ya mshahara na posho wasingeweza kufanya wanayoyafanya. Mbaya zaidi vyanzo vya pesa zao hazijulikani,

  nawakilisha.
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Umeongea vizuri sana, lakini je unaweza kuthibitisha usemi wako?
   
 3. JUST

  JUST JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33

  Babaubaya nashukuru kwa pongezi lakini mbona unanitaka ubaya bure mi si nimesema kwa mtazo wangu nikiimanisha maoni. nadhani umenipata
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Thibitisha hiyo asilimia mkuu.
   
 5. Mwananzuoni

  Mwananzuoni JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 288
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Maneno ya Magengeni wakati wa kunywa kahawa
   
 6. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Ukiongea maneno makuu kama haya bila kuya tafiti nik ama na wewe unakuwa fisadi kwa kuwaonea watu tuu...
  Fikiria, Mwalimu wa shule ya msingi (maana nae ni mfanyakazi wa serikali) anafanya kazi Tandahimba ndani kabisa mpakani na msumbiji....amabako kwa msumbiji hukuti mji hadi utembee km 200! hauzii watoto vitumbua, hapiki gongo, sana sana anashamba nae ni fisadi?.......
  Think, think, think,.......
   
 7. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Ukisha weka data that is "99%" ina maana kuna analysis umeifanya na si mtazamo ndo maana nikaomba uthibitishe Kauli yako!

  Umenisababishia Usumbufu kwa baba mwenye nyumba wangu ameisoma thread yako na kutumia kama base ya kuniongezea pango la nyumba na kuniambia ntakuwa nalipa siku hiyo hiyo mkataba ukiisha bila kujali ni tarehe ngapi Mi nilizoea kumlipa mwisho wa mwezi sasa amesema hataangalia tena tarehe!!!!
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na ulichokiongea lakini suala la asilimia!!!!!!!!maana utashikwa pabaya
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahaaaaa,pole sana mdau,nachoshukuru baba mwenye nyumba wangu anafanyakazi huko serikalin,ndo nmdadisi hapa ili nipate kujua,lakin 99% ndo inantatza
   
Loading...