Changia maada; semina ya miss tanzania inaendelea

Changia maada; semina ya miss tanzania inaendelea

Joined
Apr 13, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Sasa tunajadili ni namna gani au ni wakati gani Mrembo anaweza kuvuliwa taji la Miss Tanzania. kuna warembo ambao wameisha fanya matendo ambayo hayapendezi na bado hawakuchukuliwa hatua yoyote ikiwa ni pamoja na kuvuliwa taji. je ni kanuni zipi tuziweke ili kubana au kuhimiza nidhamu kwa warembo?
 
Lundenga anawatetea warembo maana masupa staa kokote duniani wanasumbuliwa na kuandikwa andikwa!
 
Back
Top Bottom