Gaston Msigwa na kampeni za Ubunge 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gaston Msigwa na kampeni za Ubunge 2015

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Apr 27, 2011.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Huyu ni reporter mzuri wa TBC1 ambaye ameanza harakati za kampeni kwa kufuata nyayo za Juma Nkamia, mpaka inakera.
  Juma Nkamia alikua akiwarusha wapiga kura wake pamoja na vijiji ya kondoa alipokuwa studio.

  Gaston Msingwa yeye ameingia na staili ya kuwasujudia wazee na kuwarusha hewani katika kila habari anayotoa.

  Mbaya zaidi anatumia wale wazee wa nyakati hizo wasiopenda mabadiliko.Kama mjuavyo wazee wengi wa Kusini hususani Songea ni wale wa mrengo wa "Zidumu fikra za Mwenyekiti" (ma-conservative) ambao huamini vyama vya upinzani vipo kwa ajili ya kuleta mauaji ya Kimbari.


  Matukio mengi sana amekuwa akihoji wazee. Mfano Mara baada ya uchaguzi, kuzaliwa ccm, Mapinduzi ya zanzibar,Mtafaruku Bungeni,ccm kujivua gamba,siku ya Muungano na hata matokeo ya form 4.

  Comments za hawa wazee kiukweli hazina tija na ni zile za mrengo wa chama kimoja.
  Hivi songea hakuna vijana? vyama vya kisiasa je?

  Tunajua kwamba ukitaka kugombea nyadhifa flani, ni lazima uombe ridhaa ya wazee.Naona sasa inaboa kwa hii staili.

  Hivi karibuni huko Songea kutafanyika maadhimisho ya siku ya usalama makazini,,kuthibitisha haya niliyoyaongea, mtaona wenyewe akihoji tena wazee.
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mwache bwana ni mtanzania ana haki ya kuanza kampeni sema wasiwasi wangu ataweza kumng'oa nchimbi pale songea au anataka akamng'oe komba kule mbinga au tunduru?na anataka kugombea kwa ticket ya chama gani?
   
 3. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye nyekundu kweli umeniacha bila mbavu.Teh,teeeeee!
   
Loading...